ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
- Thread starter
- #41
Mkuu this is too low to you, M4C imeanza lini na Mbowe kaanza kusaka hela lini? Ebu nijibu hilo swali then tuendelee. Kada piga kazi uongeze kipato chako, mambo ya siasa na propaganda zisizo na msingi achia wengine. Ina maana ushasahau kwamba mwingine 2 billion ni vijisenti kwake katika nchi masikini kama TANZANIA?
Kwani Richmond ilianza lini na Lowassa ameanza lini kusaka hela?
Twin towers za BoT zimejengwa lini na Liyumba ameanza lini kusaka hela?
Connect the dots...