Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
Ndicho nlichomaanisha, na jibu ni kuwa hakuna chama kilichokuwa strong enough; ndio maana ata matokeo ya urais Vunjo pia yaliipa CCM ushindi wa uraisi wa zaidi ya 50%.
Tusiridhike na udhaifu, inawezekana kuishinda CCM ata sasa ila vyama vya upinzani vinapaswa kujijenga kuliko ilivyo sasa,tunaongelea haya ni kwa sababu tu bado hatuna chama cha siasa kilichojijenga vya kutosha.
Mkuu unazungumzia kuhusu Kujijenga thats good, naamini CUF wangepebda wachukue nchi peke yao, TLP na hata UDP hilo ni suala zuri sana
Je unafikiri ni kwa nini for 15 years vyama vimeshindwa kujijenga? Je unafikiri hakuna jitihata zinazofanywa? Je unafikiri kwamba Mfumo wa Utawala katika nchi yetu unatoa mazingira ya vyama kujengeka? Je Unafikiri kwamba Mfumo wetu uko huru kiasi cha kuwafanya wananchi wajiunge upinzani ( Maana kujijenga ni kuwa na wanachama)?