Mtei awashauri viongozi CCJ wahamie CHADEMA

Ndicho nlichomaanisha, na jibu ni kuwa hakuna chama kilichokuwa strong enough; ndio maana ata matokeo ya urais Vunjo pia yaliipa CCM ushindi wa uraisi wa zaidi ya 50%.

Tusiridhike na udhaifu, inawezekana kuishinda CCM ata sasa ila vyama vya upinzani vinapaswa kujijenga kuliko ilivyo sasa,tunaongelea haya ni kwa sababu tu bado hatuna chama cha siasa kilichojijenga vya kutosha.

Mkuu unazungumzia kuhusu Kujijenga thats good, naamini CUF wangepebda wachukue nchi peke yao, TLP na hata UDP hilo ni suala zuri sana

Je unafikiri ni kwa nini for 15 years vyama vimeshindwa kujijenga? Je unafikiri hakuna jitihata zinazofanywa? Je unafikiri kwamba Mfumo wa Utawala katika nchi yetu unatoa mazingira ya vyama kujengeka? Je Unafikiri kwamba Mfumo wetu uko huru kiasi cha kuwafanya wananchi wajiunge upinzani ( Maana kujijenga ni kuwa na wanachama)?
 
Mkuu unazungumzia kuhusu Kujijenga thats good, naamini CUF wangepebda wachukue nchi peke yao, TLP na hata UDP hilo ni suala zuri sana

Je unafikiri ni kwa nini for 15 years vyama vimeshindwa kujijenga? Je unafikiri hakuna jitihata zinazofanywa? Je unafikiri kwamba Mfumo wa Utawala katika nchi yetu unatoa mazingira ya vyama kujengeka? Je Unafikiri kwamba Mfumo wetu uko huru kiasi cha kuwafanya wananchi wajiunge upinzani ( Maana kujijenga ni kuwa na wanachama)?

Kweli kabisa unayosema watu wengi wamekalia tu kulau chadema bila ya kufanya uhakiki wa ugumu wa hili li nchi. Utaona kwamba hii nchi kwa sasa imejitengenezea mfumo wa kimafia kila mtu hajui anachofanya na anafanya kwa faida ya nani. Hebu ona magazeti ya leo yalichooandika kuhusu ccj, Utaona kuwa yote yameponda hivyo usipokuwa na editors ambao wanaweza kueleza ukweli basi unakuwa ndiyo mwanzo wa wananchi kupoteza imani.

Mwanakijiji hata uwe smart kiasi gani vita hii tutashinda kwa kupigana kwa umoja na malengo
 
Luteni.. nyinyi sijui kwanini hamtaki kunisoma.. nimeshauliza huko nyuma mara nyingi.

a. Waungane kiwe nini?
b. Muungano uwe kwa msingi gani?
c. Baada ya kuungana kinakuwa nini?

Tumeimba mara nyingi.. 'wapinzani waungane' sijui "muungano wa upinzani' mara "waungane kuwa na nguvu bungeni" lakini hakuna anayejibu maswali hayo. Wanasema waungane ili "waiangushe CCM" nikiwauliza ili 'kiwe nini' wanasema "i don't care, tunataka CCM ing'oke".. huu siyo muungano.

Kuna tofauti gani kati ya ccm ya sasa na mkoloni?they're even worse kwasababu hawa ni sawa na "Kikulacho ki nguoni mwako" ni kama chawa yuko na wewe tu.....Kama tungejiuliza maswali kama hayo wakati wa kumtimua mkoloni basi labda tungekuwa mbali...Yani kina mwalimu wangejiuliza waungane ili iweje na tatizo ni mkoloni?

Kinachohitajika kwanza ni nia,ambayo ipo,na sababu ambazo nazo zipo,kusema muungane ili iweje ni kichekesho cha mwaka,yani unataka kudai hujui muungane ili iweje?pengine hayo ni maswali ya kuulizana wakati wa kuunegotiate muungano huo kama nia na sababu tayari vipo,otherwise mkoloni mweusi ataendelea kupeta tu.
 
You have a point Mwanakijiji. Kama lengo la muungano wa wapinzani ni kuing'oa CCM tu na kuunda chama tawala kingine kwa mfumo huu huu wa katiba na sheria basi hakuna haja ya kubadilisha vyama. Wanaweza vilevile wakaangalia uwezekano wa kuungana na CCM na kuunda serikali ya umoja wa kitaifa kama walivyoamua CUF na CCM Zanzibar.
Nitarudia kusema yale niliyoyasema mahali pengine humu foramuni.
Kuindoa CCM madarakani ni step # 2 (muhimu sana hii) ya mchakato mrefu wa kuleta mabadiliko ya kweli nchini, ikitanguliwa na stept # 1 ambayo ni kuwa na nia ya pamoja (sisemi lazima kuungana - nia tu inatosha!). Kwa wapenda mabadiliko wa kweli, CCM is the problem. Big bloody bottleneck. So get that thing out of the way first then:
-step # 3: tengenzeni mustakali mpya. Ambao ni bora zaidi;
-step # 4: pumba zitajitenga na mchele (hatua hii ni hatua ngumu lakini muhimu sana kwa mafanikio). Kuna casualties hapa lakini matokeo yake ni kupiga hatua iliyo bora zaidi.
Collectivity yetu will prove stronger than party politics ambazo humu foramuni nimeona watu of late wanaanza kujipambua sana kwazo. Leo CCJ, kesho CCK, keshokutwa CHADETA, FUC, RCCN-MAGEUZI. Name it. Where will that get you folks?
 
Na ccm nao wakisema watu waungane huku kuendeleza ujenzi wa taifa nao utakuwa ni ushauri mzuri? vipi kuhusu CUF na TLP?

Mzee wa Kijijini umesema mawazo yako sasa endelea kuweka nyama juu ya yale mawazo ya Mtei uliyo pinga hadi ukaleta TLP na CUF . Upinzani Bungeni mkuu unatakiwa sana maana ndiko zinako andikwa sheria za Kuongoza Nchi nk au kuna mahali pengine ?
 
Na ccm nao wakisema watu waungane huku kuendeleza ujenzi wa taifa nao utakuwa ni ushauri mzuri? vipi kuhusu CUF na TLP?

Hey give me a break.CCM waungane ili iweje au hujui lengo lakuungana?sasa wao waungane kivipi na hivi imekaaje?kwani kuna siku walikuambia kuwa wameshindwa kujenga nchi au unafiiri kuna siku watasema hivyo?kwa Afrika hili haliwezekani na wala halitatokea labda miaka 100 ijayo kwahiyo mfano wako ulikuwa ni nadharia isiyowezekana kivitendo na hata kinadharia yenyewe.
 
Huo mfupa wa CHADEMA ni mgumu mno, wameshindwa akina Zitto, Wangwe, Kaburu na hata yule makamu mwenyekiti wao wa kwanza, nafikiri alikuwa anaitwa Ngwilupi, naye alishindwa. Sasa mnafikiri Mpendazoe atauweza?

Mzee Mtei aisaidie CHADEMA kuona matongotongo yake ili wabadilike na kuwa chama cha kitaifa kinachokubalika na watanzania wote.

Naona mzee Mwanakijiji na yeye yamempata na sasa filimbi yake kwa CHADEMA kaamua kuipeleka CCJ na muziki umekolea huko.
 
Swadakta, sera yetu kuu lazima iwe ni kuitoa CCM madarakani Sera za utekelezaji zitakuja tu Liberal Dem and Conservative walitumia tu siku tatu wakaja na sera na wameanza kuzitekereza.


Wrong; Liberal Dem na Conservative wana sera zao kabla ya kuungana na itikadi zao ambazo zinawatofautia. Wana malengo ambayo kwa vile yalikuwa yanajulikana mapema ilikuwa rahisi kukaa chini, kuzungumza kupatana na kukubaliana mambo fulani. Hakukuwa na suprise. Hawakua na lengo la "kuindoa Labour madarakani" ili wakiingia ndio wapige mahesabu watafanya nini.

Hapa kinachojarisha ni NIA mkiwa na nia moja na nzuri kwa nchi hii haijarishi nini kipo mbele yenu.


Hili ni wazo la hatari sana na halina msingi. Huwezi kuunganisha kwa "nia nzuri" ambazo watu wanazo mioyoni mwao na hatuzijui ni zipi. Na bahati mbaya kwenye taifa lenye watu milioni 40 ni muhimu kujali nini 'kiko mbele yenu' vinginevyo mtaanza safari pamoja na mbali hamtafika. Si umeona hata hao UK hawajapita hata siku wameanza kujiuzulu wengine na kuwekeana ngumu. Huwezi kuunganisha nia nzuri ya kuindoa CCM halafu mkatarajia kuongoza taifa.
Mnaweza kuwa na sera nzuri sana kwenye makaratasi na msifanye kitu kama nia hakuna.

Hivi unajua mara ngapi CCM wamesema "serikali ina nia" au "ina kusudiao" au "mpango madhububuti". Nia hazitawali.

Ndiyo maana wengi tunajiuliza hivi hawa wakina mpendazoe nini kitakachombadirisha leo aanze kufuata sera zilizo kwenye makaratasi? Mwanakijiji? sidhani kama unaweza si ungewabadir huko huko? hawa ni afadhali wabaki huko huko tu. Je wakina mpenda zoe wana nia ya kuikomboa nchi? kama ni kweli miaka yote aliishije huko ccm?

kwani mtu haruhusiwi kubadili mawazo au kuchukua uamuzi mwingine katika maisha yake kwa wakati wake. Uamuzi unaotakiwa kuchukuliwa ni lazima ule ambao ungetakiwa kuchukuliwa huko nyuma? Haya ni mawazo yasiyo na msingi. Mwanadamu ana haki ya kubadili mawazo, kufuata dhamira yake kwa kadiri anavyozidi kufahamu mambo mbalimbali na taarifa mbalimbali zinavyozidi kumfikia.


NINI kitakacho mfanya mpendazoe leo awe mtu wa sera kuliko alivyokuwa jana? nawakilisha

well.. siwezi kumsemea, lakini nini kitakachomzuia.
 
Kweli kabisa unayosema watu wengi wamekalia tu kulau chadema bila ya kufanya uhakiki wa ugumu wa hili li nchi. Utaona kwamba hii nchi kwa sasa imejitengenezea mfumo wa kimafia kila mtu hajui anachofanya na anafanya kwa faida ya nani. Hebu ona magazeti ya leo yalichooandika kuhusu ccj, Utaona kuwa yote yameponda hivyo usipokuwa na editors ambao wanaweza kueleza ukweli basi unakuwa ndiyo mwanzo wa wananchi kupoteza imani.

Mwanakijiji hata uwe smart kiasi gani vita hii tutashinda kwa kupigana kwa umoja na malengo

mbona nasema hicho hatamki kunisikia; lakini umoja mnaotaka usiwe na malengo; na kama unayo basi mnataka malengo yawe "kuindoa CCM madarakani kwanza" hili bado nalikataa.. halina mantiki kisiasa wala kifalsafa.

Na wengine wanasema ati "nia" ndio ziunganshwe.. jamani hata shetani na mapepo wa nia nzuri ya kuboresha maisha ya binadamu ili waweze kutofika mbinguni... nia yao kwao ni nzuri.. je kwetu ni nzuri?
 
Mwanakikjiji could be sinking, I am sorry to say. Kuungana kwa upinzani (kwa namna yoyote ile vyama vitakavyokubaliana kufuatana na sheria zilizopo) ni kitu chema kabisa na ndiyo maana hiyo huwa ni tishio kwa chama tawala.

CCM haipendi vyama vikaungana na ndiyo maana wameweka ugumu kufanya hivyo – tofauti na ilivyo Kenya kwa mfano. Na ninaweza kuthubutu kusema kwamba urahisi uliokuwapo kuungana vyama huko Kenya ndiko kumesaidia kuleta uwiano wa maana katika Bunge lao (about 50-50).

Mimi nashangaa MMKJJ anajaribu kuli-complicate suala la wito kwa upinzani kuungana kwa kuleta masuala ya "waungane vipi" au/na "kwa lengo gani" vitu ambavyo kinazungumzika kabisa kwa pande zenye lengo jema.

Kuhusu fallout yake na Chadema: Siwezi kuingilia kwa undani kwani kuna mengi ambayo hatuyajui. Lakini niruhusu nikasema hivi:

In 1995 I supported NCCR to the hilt, but they could not make it. Had Nyerere remained neutral Mrema could have become President, even though looking now in hindsight, that would have been catastrophic. But nonetheless, it would have been the end of CCM as we know it – it would have taken the same path as UNIP and KANU.

In 2000 I supported CUF – it turned out to be a huge disappointing to me. The party failed to shake up the religious label that was branded to it by CCM. They could of course.

In 2005 I was largely an onlooker (in the opposition side of course) as I watched Chadema making an impact, however little.

After 2005 Chadema's stand on corruption, starting from the Mwembeyanga list of Shame up to EPA revelations drew a lot of support and from opposition – as testified by Tarime by-election.

But with this – as expectedly -- came a fierce backlash from CCM and its systematic campaign against Chadema and its leaders. Many expected that of course but somehow, Chadema had to bear the brunt alone – it appeared other opposition parties – CUF, NCCR and TLP appeared to shun it, with some of its leaders even giving statements opposing Chadema's stand on the issues of ufisadi.

It was distressing, because if there was a very good opportunity for opposition parties to unite, then it was during that time. But we can easily guess who had sleepless nights in ensuring that did not happen – CCM of course!!!!!

I'm of course trying hard to understand why MMKJJ does not seem to see the situation in this light. I have no answer, but I harbour a suspicious mind!

Rather that promoting a new opposition party, the idea should have been to reduce their multitude by promoting party mergers. And that is what CCM is always scared of and is ready to use all means, by hooks or crooks (mostly the latter) to ensure it never happens!
 
swali hili ndilo ninaliuliza kuhusu CCJ na Chadema kuungana.. angalau umeweza kulielewa..

Yaani kwa CCJ na CHADEMA hujui,duu kazi kweli kweli..Kwa hali hii naanza kupata mawazo tofauti kuhusu wapambanaji wa kweli nchii hii..Wote tu wale wale tu,hakuna mwenye nia ya dhati ya kulikomboa taifa hili,tuna yetu,samahani kwa kusema hivi..
 
Kuna watu hapa wanachanganya KUHAMIA na KUUNGANA. Mtei alichoongelea ni CCJ KUHAMIA chadema kwa maana nyingine ni kuwa wanachama wa Chadema na sio KUUNGANA Chadema na ccj.
 
Kuna watu hapa wanachanganya KUHAMIA na KUUNGANA. Mtei alichoongelea ni CCJ KUHAMIA chadema kwa maana nyingine ni kuwa wanachama wa Chadema na sio KUUNGANA Chadema na ccj.

Afadhali babu umetufungua yaani ni kelele tu humu!
 
Kama CHADEMA wanataka muungano wa Wapinzani, wakumbatiane kwanza na CUF, NCCR, TLP, DP na wengineo waliowatangulia CCJ.

Lakini kwa upande mwingine, je ni kilio cha kubembeleza mvuto kwa kuwa CHADEMA imeshapoteza mvuto na dira?
Kwa upeo wangu,Chadema imepoteza imani ya kuungana kwa vyama vya upinzani toka kifo cha Chacha....Mtei alichoelezea hapo juu ni ccj kuhamia Chadema na kuwa wanachama wa Chadema.
 
Kuna watu hapa wanachanganya KUHAMIA na KUUNGANA. Mtei alichoongelea ni CCJ KUHAMIA chadema kwa maana nyingine ni kuwa wanachama wa Chadema na sio KUUNGANA Chadema na ccj.

Ni kweli Babu M. Wachanganyaji ni pamoja na MKJJ himself -- if you read his earlier posts of this topic.
 
Back
Top Bottom