View attachment 15566
Kuna maswali mnajiuliza:
Je,ni nani hasa Edwin Mtei?
Je,ilikuwaje Mbowe akashinda uenyekiti na si Zitto Kabwe?
Ni ipi hasa masterplan ya mzee huyu aliyechekeana kinafiki na Nyerere?
Imefanikiwa kiasi gani?
Je,anawatumia watu gani?Mimi naweza kuwa natumiwa bila kujua?
Vipi Wangwe?Melo?
Ni nani Deus Mallya na kina nani walimlipia mafunzo ya Kijajusi ughaibuni?(sasa ni mpiga picha wa Chadema)
Ni kweli Chadema walifuja dola milioni mbili kama msaada toka chama cha Conservative cha Uingereza?
Saed Kubenea,Jenerali Ulimwengu,Philemon Ndesamburo,Absolum Kibanda ni kina nani na wanahusika vipi na grand plan ya Mtei?
Nini maana ya "M.Z.M.S" katika Chadema na ilikuwaje Mtei akairushusu na ameiruhusu kufanya kazi katika mlolongo upi na nani yujo juu ya sheria ndani ya Chadema na kwa nini?
...Inaendelea..
Mmmhh kweli ccm wamepata jambajamba mpaka haya yanaibuka? mara makaratasi ya kura,ilimradi tuu wachafue, wa,emchambua Slaa weeeee wameishiwa, sasa wanaanza na waanzilishi. Mi nijuavyo hiyo historia Mtei alijiuzulu tena with clean conshasi hakupenda upuuzi, ni wale wa kuigwa tumemtolea mfano kwenye study kadhaa za uongozi. huyo Nyerere wenu, basi ngoja nisimseme hayati, ila tungeruhusiwa kumchambua sijui, mi huwa nashangaa sana mnavyomsifia wakati to me ni kiongoizi aliyefail ndo yeye alituacha hapa kwenye umaskini, anyway let me keep kwayati kwani ni Mungu wa watanzania wasije wakanishambulia.
Hili wala si jungu mkijijua kama mnatumiwa mtajua kuwa si jungu. Mbona haihitaji degree kulijua jambo hili? anyway na mshinde ili tupate baba wa taifa mpya.
Ukweli unauma kaka yangu
Huyu Shekh sijui Sheka,anaweza kutupatia majibu ya haya?I need to print it out,sidhani kama zote hizi ni pumba.Kuna kitu muhimu hapa.
Too late
So far mnajibalaguza humu ndani. Mjinga kaweka hadi quotes, na tarehe. Sisi wote ni watu wazima humu ndani, na hata kama wewe ni MNAZI wa Mtei you can't completely discredit this text (kuna viukweli ndani yake). And some of uchaga wa Chadema is obvious, even Zitto will tell you so. Habari ndio hiyo, hebu jibuni kwa hoja sio mnazuga tu.
Good thing kwamba hamtashinda Uraisi. And you won't even come close in 2015. Mungu Mkubwa, maana mnataka kutulostisha tu.
Majibu ya Tume ya Nyalali unayakumbuka?Huyu Shekh sijui Sheka,anaweza kutupatia majibu ya haya?
1. Chadema kilisajilia 1992 kikiwa chini ya Mtei akiwa mwenyekiti,je ilikuwaje kikasajiliwa wakati Mtei ni msaliti wa Taifa hili?
2. Nyerere alishindwa nini kutumia ubaba wake wa taifa kukinyima usajili CHADEMA kwani kilikuwa chini ya Mtei ambaye ni BEPARI,ilihali Tanzania ni Ujamaa unatakiwa?
Mwisho narudia tena,maana hili swali limeulizwa na wengi hapa, MTEI ANAGOMBEA NAFASI GANI katika uchaguzi wa 31 Oct2010?
mawazo yako ila kama unataka mabadiliko ya kweli vote for slaaSo far mnajibalaguza humu ndani. Mjinga kaweka hadi quotes, na tarehe. Sisi wote ni watu wazima humu ndani, na hata kama wewe ni MNAZI wa Mtei you can't completely discredit this text (kuna viukweli ndani yake). And some of uchaga wa Chadema is obvious, even Zitto will tell you so. Habari ndio hiyo, hebu jibuni kwa hoja sio mnazuga tu.
Good thing kwamba hamtashinda Uraisi. And you won't even come close in 2015. Mungu Mkubwa, maana mnataka kutulostisha tu.