Mtego utakaowanasa wana JF?-JK kufanya mabadilko?!

jmushi1

Platinum Member
Nov 2, 2007
24,705
21,907
Kuna rumours kwamba JK anapingana na ufisadi kwa siri!

Kuna baadhi ya member credible hapa JF ambao wanaamini hivyo!

Sitaki kuwataja kwa majina!

Ila ni wazi kuwa JK is going to do something very soon in regard to the fight against UFISADI!

Wana JF is the president going to satisfy us THE PEOPLE?

If not then is it Another MTEGO?
 
Mada tata hii na maelezo hayatoshi kujitosheleza ii tuseme .What do you know about his plans ? Sema na tuone huo mtego ni upi .Mabadiliko kwa njia ipi ?Anafanya kweli ama anafanya ili tukae kimya ?Angalitaka mapambano hata kwa siri basi amwache Zitto apeleke Bill yake badala ya CCM yake kufanya mauza uza .
 
'JK is going to do something very soon'
Hizo mbwe mbwe tu. Wapi Balali? Lowassa na team yake bado wanapeta, Che Nkapa anazid kutesa, Chenge na vjisenti Shujaa wa bariadi. MANENO MENGI NA POROJO TU!! wameweka misheria kibao kama ukuta wa kujilinda!!
 
JMushi1,
Tafadhali mkuu hizi hadithi zinachosha.. Mtu huwezi kupingana na mtu anayetembea na mkeo kwa siri kwani mhalifu ndiye hufanya siri...
Sidhani kama anaweza kuvumilia haya ikiwa Bi. Mkubwa analiwa...Si Kikwete tunayemfahamu..
 
Kwani hujasoma thread ya Mwafrika wa kike aliyesema tumpe jk one month free of bashing kwasababu inasemekana anataka kubadili baraza la mawaziri?

Na kama thats the case..Then hii itakuwa mara ya ngapi kufanya hivyo?

Dont we have the right to ask kama akifanya hivyo itatu satisfy us THE PEOPLE?

Si alimwacha chenge kwenye upanguzi wa kwanza?

Ni lipi hilo atakalofanya lenye kutu connvince us THE PEOPLE?

ATAKUBALI BALALI AKAMATWE?

CHENGE JE?

The list goes on and on...

Vipi tena mkuu?

SI UNAKUMBUKA WEWE NDIO ULIYEKUWA KINARA WA KUTAKA ILE MADA YA "jk akataa balali asiletwe kuondolewa hapa kwenye Jukwaa la kisiasa?

Sasa si ni juzi wamesema hawamhitaji Balali?

Vipi Mkuu?
 
Mada tata hii na maelezo hayatoshi kujitosheleza ii tuseme .What do you know about his plans ? Sema na tuone huo mtego ni upi .Mabadiliko kwa njia ipi ?Anafanya kweli ama anafanya ili tukae kimya ?Angalitaka mapambano hata kwa siri basi amwache Zitto apeleke Bill yake badala ya CCM yake kufanya mauza uza .

Again...Kasome thred ya mwafrika wa kike!
 
Kuna rumours kwamba JK anapingana na ufisadi kwa siri!

Kuna baadhi ya member credible hapa JF ambao wanaamini hivyo!

Sitaki kuwataja kwa majina!

Ila ni wazi kuwa JK is going to do something very soon in regard to the fight against UFISADI

Wana JF is the president going to satisfie us THE PEOPLE?

If not then is it Another MTEGO?

We are tired of waiting and we don't need another cabinet change but we need a NEW ELECTION NOW and not 2010. JK is a big failure those frequently cabinet changes will not be able to achieve anything meaningful to Tanzanians.
 
Maneno haya yanaonyesha wazi kuwa sio wote watakaonaswa!
Mjadala uanze sasa...
 
Ila mimi nimenza kumuonea huruma sana Jk. Unajua mvumilivu sharti ale mbivu! I wish hao mashujaa wa UFISADI kina Lowasaa, Chengge, Kaaramagi, Balalii, na wengine wangekuwa wanamgawia vijisenti ukizingatia yeye hawabugudhi wala nini....anawavumilia kiasi cha kutosha, na lawama zote anapata yeye!

Just a dream......
 
Kwani hujasoma thread ya Mwafrika wa kike aliyesema tumpe jk one month free of bashing kwasababu inasemekana anataka kubadili baraza la mawaziri?

Na kama thats the case..Then hii itakuwa mara ya ngapi kufanya hivyo?

Dont we have the right to ask kama akifanya hivyo itatu satisfy us THE PEOPLE?

Si alimwacha chenge kwenye upanguzi wa kwanza?

Ni lipi hilo atakalofanya lenye kutu connvince us THE PEOPLE?

ATAKUBALI BALALI AKAMATWE?

CHENGE JE?

The list goes on and on...

Vipi tena mkuu?

SI UNAKUMBUKA WEWE NDIO ULIYEKUWA KINARA WA KUTAKA ILE MADA YA "jk akataa balali asiletwe kuondolewa hapa kwenye Jukwaa la kisiasa?

Sasa si ni juzi wamesema hawamhitaji Balali?

Vipi Mkuu?

JK kukubali Balali akamatwe mean yuko tayari kuachia Urais maana hataweza kusaliika na na pesa za EPA hadi kwenye Uchaguzi ambazo ndiyo zikimpa ushindi .JK hawezi kukata tawi la mti huku kalikalia .
 
Mada tata hii na maelezo hayatoshi kujitosheleza ii tuseme .What do you know about his plans ? Sema na tuone huo mtego ni upi .Mabadiliko kwa njia ipi ?Anafanya kweli ama anafanya ili tukae kimya ?Angalitaka mapambano hata kwa siri basi amwache Zitto apeleke Bill yake badala ya CCM yake kufanya mauza uza .

JF. Burudani kweli kweli, mtu anaweza kuja na Thread ambayo ina-prove watu wengine wa shushe data, lakini yeye mwenyewe hakuwa na habari yoyote!!! Kwi kwi kwi
 
Kasheshe
JF inafana kazi kwa njia nyingi ili kupata habari .So huyu naye kaja na lake wacha tumsaidie kuelewa inavyo takiwa .Leo weekend kaka niko hapa M-Tower natesa na wireless yao .
 
Tunasubiri chochote atakachofanya Mkuu wa Kaya sababu yeye pekee ndiye ambaye at least anajali wananchi. I didn't say he is the best but he is the best we have.

Ukicompare utawala wa BWM na JK ni kama mchana na usiku.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Ila mimi nimenza kumuonea huruma sana Jk. Unajua mvumilivu sharti ale mbivu! I wish hao mashujaa wa UFISADI kina Lowasaa, Chengge, Kaaramagi, Balalii, na wengine wangekuwa wanamgawia vijisenti ukizingatia yeye hawabugudhi wala nini....anawavumilia kiasi cha kutosha, na lawama zote anapata yeye!

Just a dream......

Hey, You never know! Maybe he is one of them that is why all mafisadi remain untouchables! They know each other just like waarabu wa Pemba.
 
JF. Burudani kweli kweli, mtu anaweza kuja na Thread ambayo ina-prove watu wengine wa shushe data, lakini yeye mwenyewe hakuwa na habari yoyote!!! Kwi kwi kwi

Are you sure Mkuu? I will prove you wrong my friend!
 
Tunasubiri chochote atakachofanya Mkuu wa Kaya sababu yeye pekee ndiye ambaye at least anajali wananchi. I didn't say he is the best but he is the best we have.

Ukicompare utawala wa BWM na JK ni kama mchana na usiku.

Mungu Ibariki Tanzania.

Na ndio maana nikauliza...Je kupangua baraza peke yake inatosha ama Chenge na Balali wakamatwe?
 
Huyu Kikwete ana shetwani wa Zohali mambo yake huwa hayatekelezi zaidi ya ahadi na huwa na uchelewshaji mkubwa hata akiwa na vielelezo na nguvu za kutekeleza ,nadhani kama yupo mtu alisoma nae anaweza kutuambia kuwa alikuwa ni mwanafunzi anaechelewa shule karibu kila siku ,sasa hata ukiangalia bado amechelewa kuunda serikali nzuri ,kila siku anapangua ,na hajaweka viongozi wepya zaidi ya mitumba ,mawaziri wake wote ni mitumba.Si wepya kutokea serikali zilizopita ni wale wale mafisadi chapa Mkapa.
 
Mada tata hii na maelezo hayatoshi kujitosheleza ii tuseme .What do you know about his plans ? Sema na tuone huo mtego ni upi .Mabadiliko kwa njia ipi ?Anafanya kweli ama anafanya ili tukae kimya ?Angalitaka mapambano hata kwa siri basi amwache Zitto apeleke Bill yake badala ya CCM yake kufanya mauza uza .

Ndio hapo mtego unapoanzia!
 
Hakuna cha ajabu anachoweza kufanya, JK is very slow to act and part of the game. Chenge na wengine tumewazungumzia hapa JF for a long time before anything happened. Hakuna mpya hapa, ufa mkubwa umeshaingia, kilichobaki ni kubomoa na kuanza upya..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom