Mtego utakaowanasa wana JF?-JK kufanya mabadilko?!

JK kukubali Balali akamatwe mean yuko tayari kuachia Urais maana hataweza kusaliika na na pesa za EPA hadi kwenye Uchaguzi ambazo ndiyo zikimpa ushindi .JK hawezi kukata tawi la mti huku kalikalia .

Lunyungu...Sasa kama ulikuwa unajua Kikwete hawezi kulikata tawi la mti alilokalia then kwanini aendelee kupewa sapoti na hata kuitingisha JF na kusababisha wengine tufungiwe ili tuendelee kumwita majina mazuri?

Ni bora iwekwe wazi kuwa EPA ISAHAULIWE,RICHMOND NK..Na kwamba Kikwete ni safi na CCM idumu milele!

NB:Ukiitembelea hii thread utaona ni kwa jinsi gani nilipambana toka Ballali akiwa hai...Hadi akisubiriwa afe kama mtuhumiwa huru!

Na huku sasa tukiongozwa na mama Killango kuwa warudishe pesa ambazo tayari wameshaanza kuzirudisha badala ya kuwakamata!

HAKUNA NJIA NYINGINE WABUNGE...KAMATENI HAWA WATU...Huu mjadala ulianza Ballali akiwa hai...Na sasa kuna habari kuwa kafa.Na inawezekana alikuwa akiusoma...Ni wengi wanakuja hapa kusoma haya mambo..Wenye nia nzuri na mbaya.Mungu aendelee kutuepusha na wale wenye nia mbaya.

Mgawanyiko huu...Niliutabiri na bado upo...Ila Mungu atuepushie mbali kwasababu mara zote binadamu hutofautiana kimawazo na pia hueshimiana.

Kwa hili...Ni wazi kuna mengi tusiyoyajua...Ila tuna maswali mengi muhimu ambayo kama hayatapuuziwa...Basi ukweli utawekwa bayana.
 
Wale waliokuwa wakisema kikwete apewe mwezi...Alishapewa...Ballali akafa...Bado wanataka apewe muda!
Na sasa ni killango aliyeteuliwa na kikwete?
 
Hakuna uwingi kwenye kutoa mwezi mmoja kwa Kikwete, ni mimi na mimi peke yangu ndiye nilisema hivyo. Kama unataka kuaddress hii issue, taja jina langu na nitakujibu.

Wakati mwingine kuwa na some ballz kusimamia hoja zako hapa JF na sio kujumuisha wana JF woote kama vile ni watoto vile.

Ok, What's your problem kwenye suala la kumpa Kikwete mwezi mmoja? Lilete kwangu na uwe specific na utapata jibu specific.
 
Fuatilia ule mjadala wako kwenye thread uliyoanzisha na utajua ni wewe na kina nani mliokuwa mkisema kikwete apewe muda hadi ballali afe!
 
Ni mimi peke yangu ndiye nilitoa muda wa mwezi mmoja. Hakuna yeyote yule mwingine pia alitoa mwezi mmoja.

BTW, Ni lini uliflop na kuanza kusema kuwa Ballali amekufa?
 
Wakati wa ule mjadala moto moto wa Count down ripoti ya madini...Ulidai unayo ripoti ya madini...Na sasa ni wazi kuwa kwenye listi ya waliyonayo ni wewe,kikwete,na wanakamati wale!
Kwa hiyo sisi wananchi hatujui yale mnayoyajua..Ila tuna maswali kama nyoe mnavyosema kuwa huwa nauliza tuuu!
 
Hiyo report ya kamati ya madini ninayo mpaka sasa kama ambavyo nimekuwa nazipata zingine zote na kushiriki kuziweka hapa jamvini kwa wakati muafaka. Maswali yako ni yapi?
 
Nani alimpa SINCLAIR,NANI ALIKUPA WEWE KABLA HATA YA RAISI MWENYEWE UNAYEMTETEA KWA KUTUMIA MGONGO WA MAMA ANNA AMBAYE NAYE LAKE MOJA WEWE,KIKWETE NA WENGINEO!
 
Ni mimi peke yangu ndiye nilitoa muda wa mwezi mmoja. Hakuna yeyote yule mwingine pia alitoa mwezi mmoja.

BTW, Ni lini uliflop na kuanza kusema kuwa Ballali amekufa?

Wewe ulikuwa ukidai Ballali KAFA kwa Imani yako!
Nikapinga sana tu!
Ukabadili mawazo kama masaka!
Ila mawazo yako ulibadili kisiasa!
Kukubali ama kutokubali kuwa ballali kafa ni siasa!
SHERIA NI KAMATA MAFISADI MARA MOJA!
HIYO NI HAKI YA MTANZANIA ITAKAYOPIGANIWA NA WAZALENDO KUFANA KUPONA!
 
Nani alimpa SINCLAIR,NANI ALIKUPA WEWE KABLA HATA YA RAISI MWENYEWE UNAYEMTETEA KWA KUTUMIA MGONGO WA MAMA ANNA AMBAYE NAYE LAKE MOJA WEWE,KIKWETE NA WENGINEO!

Naona sasa nimekuwa mtetezi wa mtu ambaye ninataka aresign haraka sana iwezekanavyo.

Aliyenipa hii report ni the same person aliyempa Dr Slaa lile bomu la wizi wa BoT. Mimi na Dr Slaa letu ni moja tu, kuikomboa Tanzania toka kwa mafisadi.

Mwenzangu sijui lako ni nini.
 
Wewe ulikuwa ukidai Ballali KAFA kwa Imani yako!
Nikapinga sana tu!
Ukabadili mawazo kama masaka!
Ila mawazo yako ulibadili kisiasa!
Kukubali ama kutokubali kuwa ballali kafa ni siasa!
SHERIA NI KAMATA MAFISADI MARA MOJA!
HIYO NI HAKI YA MTANZANIA ITAKAYOPIGANIWA NA WAZALENDO KUFANA KUPONA!

Hivi utajibu hili swali la kuwa ni lini uliamini kuwa Ballali amekufa?
 
Nimeshakwambia FORGET ABOUT BALLALI KWASABABU MBINU ZENU NISHAZIJUA!
RIPOTI ZOTE ZIPO NA WATUHUMIWA WAPO!
KUSEMA BALLALI KAFA AMA HAJAFA HAINA MAANA KWA SASA KWANI NI SIASA CHAFU TU ZA KUWAWEWESESHA WABONGO!
BALLALI KUFA AMA KUJIFICHA NI SIASA!
KUKAMATA WATUHUMIWA WALIOTAJWA KWENYE RIPOTI NI HAKI NA SHERIA!
 
Mhh,

Nimeshangaa kusikia kuwa Ballali sio muhimu tena kwako.
Okay, na huyo anayetakiwa kuwakamata walotajwa kwenye report ni nani?
 
Acha siasa..Kasome ripoti ya EPA,ERNEST & YOUNG NA NYINGINE ILI TUSIRUDISHANE NYUMA!
Watuhumiwa wanajulikana..Hata huyo Killango alishirikiana nao kupiga kura huko bungeni huku akihakiki kauli za Mwenye kiti na katibu wao kwa kutumia MAJI TAKA POLITICS kuwa ccm NI SAFI!
 
Utajibu hili swali la nani anatakiwa kuwakamata mafisadi wa EPA?
 
Jmushi hizi attacks kwa mama huyu hazina sababu maana nina hakika ni mpambanaji dhidi ya mafisadi ambao nyerere aliwaita manyang'au. Sasa siraha mbona tunaelekezeana badala ya kuelekeza kwa adui?
 
Tatizo siyo yeye..Tatizo ni ccm...Na nina amini kuna PLAN B ndani ya chama chao kwani bado kuna wasafi humo!
Wailete plan B kwani A ni failure..Namsahuri afanye kweli na aachane na mambo ya kudai pesa zilizorudishwa!
 
Utajibu hili swali la nani anatakiwa kuwakamata mafisadi wa EPA?

Mwema aliambiwa afanye kazi na yeye kasema ameogopa!
Na uwoga wake ni ccm!
SI WANANCHI!
HAWA VIONGOZI WETU WANATAKIWA WAMWOGOPE MUNGU NA WANANCHI WANAOWATUMIKIA KWA KUSIMAMIA MASLAHI YA TAIFA NA SI CHAMA KAMA INAVYYONEKANA SASA!
 
...hizi attacks kwa mama huyu hazina sababu maana nina hakika ni mpambanaji dhidi ya mafisadi ambao nyerere aliwaita manyang'au. Sasa siraha mbona tunaelekezeana badala ya kuelekeza kwa adui?

Tunajaribu kuwakumbusha Watanzania wenzetu kwamba ukitaka kuuziwa gari na mtu, fungua bonnet, piga piga teke matairi, usije ukaondoka na mkenge.

Vinginevyo, usipofanya hii due diligence, yatakuwa yale yale ya ulevi wa furaha wa Kikwete-Shein, miaka mitatu iliyopita.
 
Mwema aliambiwa afanye kazi na yeye kasema ameogopa!
Na uwoga wake ni ccm!
SI WANANCHI!
HAWA VIONGOZI WETU WANATAKIWA WAMWOGOPE MUNGU NA WANANCHI WANAOWATUMIKIA KWA KUSIMAMIA MASLAHI YA TAIFA NA SI CHAMA KAMA INAVYYONEKANA SASA!

Utajibu swali hili?
 
Back
Top Bottom