Mtego utakaowanasa wana JF?-JK kufanya mabadilko?!

Jmushi hizi attacks kwa mama huyu hazina sababu maana nina hakika ni mpambanaji dhidi ya mafisadi ambao nyerere aliwaita manyang'au. Sasa siraha mbona tunaelekezeana badala ya kuelekeza kwa adui?

Nimemuomba Mushi aweke ufisadi wa Mama Malecela hapa na bado hajafanya hivyo. Mushi amenikumbusha anko wangu mmoja ambaye yeye anajiamini kuwa ni yeye peke yake tu anayeweza kuiongoza Tanzania na wengine wote walio kwenye upinzani anawaona kama opportunists na wana ccm anaona wote ni wezi tu.
 
Cheyo,mama na mafisadi wengine walipiga kura ya ndiyo kupitisha bajeti ya kifisadi!
Zitto anamsapoti mama killango.
Zitto alikuwa kwenye kamati ya madini yeye na cheyo na Iddi Simba.
Iddi Simba alitumia cheo chake cha ccm Wazazi chairmani kuiba pesa za EPA kwa kushirikiana na kina Lukaza na Malegesi!
Wote wanamsapoti mama anayepewa sapoti na wazalendo?
Mjadala uendelee na nina amnini tutapata mzalendo wa kuiongoza nchi!
Bado nina kaimani kwa mbali na huyu mama..Ila there is a lot to be done!
 
Nakupa nafasi nyingine ya wewe kuweka hapa ufisadi wa mama Malecela!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom