lackg
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 641
- 268
Naheshimu mtazamo wako huo, ila kwakua tuko wachanga sana kisiasa hamtaelewa kilichofanyika na impact yake kwa Jamii ya kimataifa, kwamba kinachofanyika Zanzibar sio sahihi na kwamba Ccm wamevunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano.
Walichaguliwa na wananchi sio wakashangilie upuuzi wa serikali ya ccm, Walichaguliwa ili wapinge dhuluma na uonevu dhidi ya Watanzania wote na jana walipinga. ASANTENI UKAWA.
......safi sana