Mtazamo wangu kuhusu wabunge wa UKAWA Kuzomea bungeni

Siku nyingine inabidi wapigane kabsa......Tanzania ni Zanzibar na Tanganyika....nafikiri na wewe ulikuwa machimboni baada ya kufukiwa na kifusi ukaokolewa na kuja kuanzisha thread Hapa JF. THINK BIG
 
Huo ni mtazamo wako lakni ni sawa kabisa walivyofanya coz hyo ni mkoa 1 ya kupigania haki ya wananchi walowachagua, nadhani ww mwandishi hujui siasa mfano angalia bunge la south Africa julias malema na kundi lake anavyofanya bungeni ,nenda kajifunze siasa kwanza halaf ndo uandike utumbo wako humu
 
Ukawa wamefanya jambo la kitoto na la aibu,kwa lugha nyepesi "wamejinyea kisiasa".
 
Back
Top Bottom