Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,103
Unaandika kanakwamba ulikufa na ulivyofufuka tu ukakuta zomeazomea bungeni. Jifunze kufikiri na kutafakari chanzo cha tatizo. Unapowanyang'anya watu haki zao za msingi ulitarajia watakuchekea.
Sasa imesaidia nini zaidi ya kujichoresha?!kipi kimebadilika baada ya wao kutoka bungeni na kuzomea uongozi wa juu wa nchi kana kwamba wamekunywa viroba na gongo?!
Ni haki yao kisheria kwa mbunge kutoka nje ya ukumbi wa bunge pale anapoona hakubaliani au haafiki mada au hoja zinazotolewa!lakini kuzomea na kuleta fujo bungeni ni kinyume na sheria na taratibu za bunge!
Hoja zinapingwa kwa Hoja na sio Vioja kama walivyofanya Ukawa jan!Wametia aibu na kuwafanya watu waliowachagua kujutia maamuzi yao