Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,071
- 144,506
Mimi naamini bwana yule alikuja hapa ili tu kuandaa conducive environment ya kufanya negotiation na pia kuokoa mauzo katika soko lao ls hisa lilikouwa linaporomoka kwa kasi na ndio maana mzungu yule alikuwa very humble na very polite hali ambayo wenzetu wanaotazama mambo kwa mtazamo wa kisiasa wakaanza kujitangazia ushindi mapema.
Nachoamini hawa mabwana watakuja kwenye mazungumzo wakiwa teyari wameshakubaliana wao kwa wao A,B,C za mazungumzo na hata kama ni kutulipa labda kama kweli kuna tax evasion tofauti na hapo tusijidanganye sana sana wanaweza kutudai na katika fidia hiyo tukawa tunalipia hata gharama za safari ya CEO wao kuja hapa nchini na private jet.
Naamini kilichowasukumu kuja huku haraka haraka ilikuwa ni kujaribu kuokoa mauzo yao katika soko la hisa mauzo ambayo yalikuwa yanaporomoka kwa kasi na pia ili kupata mwanya wa kuanzia ku-challenge officially findings za kamati.
Kama huamini pitia taarifa zao katika min site walioinzisha mahususi ili kutoa taarifa kuhusiana na sakata hili uone wanachoamini na misimamo yao katika hili saga.
Tumetafsiri vibaya unyenyekevu wa yule mzungu na tukajiona washindi jambo ambalo si sahihi ingawa ni kweli mabwana hawa wametunyonya sana na kwa miaka mingi.
Time will tell.