Mtazamo: Tutalipa gharama ya safari ya CEO wa Barrick

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,994
144,329
Mimi naamini bwana yule alikuja hapa ili tu kuandaa conducive environment ya kufanya negotiation na pia kuokoa mauzo katika soko lao ls hisa lilikouwa linaporomoka kwa kasi na ndio maana mzungu yule alikuwa very humble na very polite hali ambayo wenzetu wanaotazama mambo kwa mtazamo wa kisiasa wakaanza kujitangazia ushindi mapema.

Nachoamini hawa mabwana watakuja kwenye mazungumzo wakiwa teyari wameshakubaliana wao kwa wao A,B,C za mazungumzo na hata kama ni kutulipa labda kama kweli kuna tax evasion tofauti na hapo tusijidanganye sana sana wanaweza kutudai na katika fidia hiyo tukawa tunalipia hata gharama za safari ya CEO wao kuja hapa nchini na private jet.

Naamini kilichowasukumu kuja huku haraka haraka ilikuwa ni kujaribu kuokoa mauzo yao katika soko la hisa mauzo ambayo yalikuwa yanaporomoka kwa kasi na pia ili kupata mwanya wa kuanzia ku-challenge officially findings za kamati.

Kama huamini pitia taarifa zao katika min site walioinzisha mahususi ili kutoa taarifa kuhusiana na sakata hili uone wanachoamini na misimamo yao katika hili saga.

Tumetafsiri vibaya unyenyekevu wa yule mzungu na tukajiona washindi jambo ambalo si sahihi ingawa ni kweli mabwana hawa wametunyonya sana na kwa miaka mingi.

Time will tell.
 
Mbona una mawazo hasi? Haya uliyoeleza ili tufanye nini sasa na yanamsaidia nani? Rais amesema tuzungumze na kitakachoonekana ni haki yetu wamekubali kulipa. Mambo usafiri was huyo boss wa Barrick yanatuhusu nini? Rais huyu siyo sawa na wale waliomtangulia. Soma Utube (kauli mzee Ruksa( rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi) kwamba rais JPM amefanya mambo makubwa katika mwaka moja kuliko wao wote watatu kwa miaka 30.
 
Hizo zote ni siasa.
 
Mimi naamini bwana yule alikuja hapa ili tu kuandaa conducive environment ya kufanya negotiation na pia kuokoa mauzo katika soko lao ls hisa lilikouwa linaporomoka kwa kasi na ndio maana mzungu yule alikuwa very humble na very polite hali ambayo wenzetu wanaotazama mambo kwa mtazamo wa kisiasa wakaanza kujitangazia ushindi mapema.

Nachoamini hawa mabwana watakuja kwenye mazungumzo wakiwa teyari wameshakubaliana wao kwa wao A,B,C za mazungumzo na hata kama ni kutulipa labda kama kweli kuna tax evasion tofauti na hapo tusijidanganye sana sana wanaweza kutudai na katika fidia hiyo tukawa tunalipia hata gharama za safari ya CEO wao kuja hapa nchini na private jet.

Naamini kilichowasukumu kuja huku haraka haraka ilikuwa ni kujaribu kuokoa mauzo yao katika soko la hisa mauzo ambayo yalikuwa yanaporomoka kwa kasi na pia ili kupata mwanya wa kuanzia ku-challenge officially findings za kamati.

Kama huamini pitia taarifa zao katika min site walioinzisha mahususi ili kutoa taarifa kuhusiana na sakata hili uone wanachoamini na misimamo yao katika hili saga.

Tumetafsiri vibaya unyenyekevu wa yule mzungu na tukajiona washindi jambo ambalo si sahihi ingawa ni kweli mabwana hawa wametunyonya sana na kwa miaka mingi.

Time will tell.

Kwa huyo ulitakaje, kwa mfano? Tuendelee kukaa kimya wakati tunaibiwa? Hivi siku hizi CHADEMA mnasimamia nini?
 
Nilishangaa baada tu ya maneno ya CEO na jpm ghafla soko la hisa la acacia likapanda.. Wazungu wako smart kwenye biashara.... Huku tunanyonywa hatujaripwa hata senti wao wanahangaikia soko lao na kulipaisha
Kwa taarifa yako.

Acacia wao hawaathiriki kivyovyote vile na kushuka kwa bei ya hisa zao.

Hata Barick ambaye ni shareholder mkubwa zaid nae haathirik Kwa kushuka huko kwa muda mfupi
 
Swala la makinikia limenifundisha jambo kubwa sana, wakati watu wanalivuta liweze kukidhi malengo na matakwa yao ya kisiasa, mimi nililichukua kama somo kibiashara nikalinganisha na shule anayoitoa mdau Ontario kwenye shule ya Forex nikashangaa sana kuona ujio wa huyu kabaila ulivyogeuza uelekeo wa thamani za hisa za Acacia katika soko la hisa.
 
Mimi naamini bwana yule alikuja hapa ili tu kuandaa conducive environment ya kufanya negotiation na pia kuokoa mauzo katika soko lao ls hisa lilikouwa linaporomoka kwa kasi na ndio maana mzungu yule alikuwa very humble na very polite hali ambayo wenzetu wanaotazama mambo kwa mtazamo wa kisiasa wakaanza kujitangazia ushindi mapema.

Nachoamini hawa mabwana watakuja kwenye mazungumzo wakiwa teyari wameshakubaliana wao kwa wao A,B,C za mazungumzo na hata kama ni kutulipa labda kama kweli kuna tax evasion tofauti na hapo tusijidanganye sana sana wanaweza kutudai na katika fidia hiyo tukawa tunalipia hata gharama za safari ya CEO wao kuja hapa nchini na private jet.

Naamini kilichowasukumu kuja huku haraka haraka ilikuwa ni kujaribu kuokoa mauzo yao katika soko la hisa mauzo ambayo yalikuwa yanaporomoka kwa kasi na pia ili kupata mwanya wa kuanzia ku-challenge officially findings za kamati.

Kama huamini pitia taarifa zao katika min site walioinzisha mahususi ili kutoa taarifa kuhusiana na sakata hili uone wanachoamini na misimamo yao katika hili saga.

Tumetafsiri vibaya unyenyekevu wa yule mzungu na tukajiona washindi jambo ambalo si sahihi ingawa ni kweli mabwana hawa wametunyonya sana na kwa miaka mingi.

Time will tell.
Kwa hiyo unaamini kuwa akina prof kabudi wenyewe ni vilaza hawatajua chochote au? Acheni kuweweseka nyie chagadema. Acheni chama chenu kijifie mana hakuna hoja ya maendeleo Teena zaidi ya kufunga na kuomba serikali ishindwe.
 
Nyie vijana wa Chadema mmegeuka thread mills ....mnachosha na miuzi yenu ilimradi muonekane mpo tu ...
 
Haya ndio matatizo ya kula pesa za watu halafu kusema nitatumia platform ya "JamiiForum" kuwatetea na kuwatisha watu na bahati mbaya sana waliokupa "mlungula" wanajua unatumia ID gani JF.
Lazima utapost tu hata kama hupendi ili mradi umekula pesa za watu
 
Nyinyi ni wanafiki.Hivi Mkulu asingeanzisha hili jambo,nani mwingine kati yenu ambae hata angeliongelea?

Umesoma swali wewe mpiga disko? Narudia, CHADEMA mnasimamia nini? And get this into your twisted brain, you little twat, huna moral authority ya kuongelea unafiki because you symbolises every ill that confront this country. Miaka 8 mnaandamanisha watu, wengine wamekuwa vilema wakipinga ufisadi lakini leo mnajaza server kutetea ufisadi. Hamuoni aibu?
 
Back
Top Bottom