Mtazamo: Tutalipa gharama ya safari ya CEO wa Barrick

Hivi kwa siku BARRICK/ACACIA wanasafirisha tani ngapi za pure gold directly kutoka mgodini? Tupo busy na makanikia wakati tunagongwa pakubwa kule kwingine. Sijui tupoje.
 
Kwa taarifa yako.

Acacia wao hawaathiriki kivyovyote vile na kushuka kwa bei ya hisa zao.

Hata Barick ambaye ni shareholder mkubwa zaid nae haathirik Kwa kushuka huko kwa muda mfupi
Kushuka kwa thamani ya hisa kukiwa sustsined kwa muda mrefu kuna hasara kubwa. Maana yake ni kwamba hakuna confidence kwenye soko.
 
Umesoma swali wewe mpiga disko? Narudia, CHADEMA mnasimamia nini? And get this into your twisted brain, you little twat, huna moral authority ya kuongelea unafiki because you symbolises every ill that confront this country. Miaka 8 mnaandamanisha watu, wengine wamekuwa vilema wakipinga ufisadi lakini leo mnajaza server kutetea ufisadi. Hamuoni aibu?
Pombe alikuwepo mjengoni akipiga meza tena mikono miwili wakati wapinzani wanasusia miswada ya mliyoileta kwa hati ya dharula ili mfanikishe lengo lenu.
Nchi umefika hapa kwa ajili yenyu :eek:
Hapa Nani mnafikuna?
 
Waarabu wanaelewa sn definition ya Jews.....sasa huyu mapuku wetu mkurupukaji ambaye kesi ya samaki tu ilimshinda alafu alishiriki kikamilifu kupitisha mikataba hiyo ataweza wap.....alafu anafuatilia mambo madogo sn ya makinikia wkt gas makinikia, Bormberdier, chato, na madini hayako wazi kwa maslahi yake.
Lugumi na bashite tu vimemshinda alafu anatafuta sifa za kijinga
 
Mbona una mawazo hasi? Haya uliyoeleza ili tufanye nini sasa na yanamsaidia nani? Rais amesema tuzungumze na kitakachoonekana ni haki yetu wamekubali kulipa. Mambo usafiri was huyo boss wa Barrick yanatuhusu nini? Rais huyu siyo sawa na wale waliomtangulia. Soma Utube (kauli mzee Ruksa( rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi) kwamba rais JPM amefanya mambo makubwa katika mwaka moja kuliko wao wote watatu kwa miaka 30.

Ukweli always haujawaikua na sukari sasa naona unajaribu kutia na asali kidogo ili uwe mtamu ila Ukweli hua n mchungu sana hasa watu wenye brain ambazo Zipo static kama umeme radi ila muda utakuambia na uzur Internet hua haisahau.
 
Mbona una mawazo hasi? Haya uliyoeleza ili tufanye nini sasa na yanamsaidia nani? Rais amesema tuzungumze na kitakachoonekana ni haki yetu wamekubali kulipa. Mambo usafiri was huyo boss wa Barrick yanatuhusu nini? Rais huyu siyo sawa na wale waliomtangulia. Soma Utube (kauli mzee Ruksa( rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi) kwamba rais JPM amefanya mambo makubwa katika mwaka moja kuliko wao wote watatu kwa miaka 30.
Kabisaaa maana hao wote watatu walikuwa hawawezi kuwachukia na kuwatesa wapinzani.....jamaa ndani ya mwaka mmoja kawachukia wapinzani kuliko awamu yyte ile.......hakuna zaid ya hapo
 
Back
Top Bottom