Mtazamo: Tutalipa gharama ya safari ya CEO wa Barrick

kibaraka wa accacia at work. Tumekusikia kibaraka chadema damu wa Kilimanjaro mtoto wa mabibo
Vibaraka waliosaini hiyo mikataba huwajui?Mbona wengine wanalindwa tena kwa nguvu zote?

Kuna vibaraka wa wanyonyaji wa nchi hii kuliko vigogo wa chama chako?

Acheni unafiki.
 
Ndugu yangu una kazi sana sisi wengine tusiopost sio kwamba hatuna cha kupost tunaangalia mwisho wa mambo utakuaje, nikuulize hivi upo upande gani ACACIA au TANZANIA?

naomba nimjibie yeye had sasa yuko tz sijui wewe uko nchi gan?teh
 
Swala la makinikia limenifundisha jambo kubwa sana, wakati watu wanalivuta liweze kukidhi malengo na matakwa yao ya kisiasa, mimi nililichukua kama somo kibiashara nikalinganisha na shule anayoitoa mdau Ontario kwenye shule ya Forex nikashangaa sana kuona ujio wa huyu kabaila ulivyogeuza uelekeo wa thamani za hisa za Acacia katika soko la hisa.

fundamental analysis
 
Mimi naamini bwana yule alikuja hapa ili tu kuandaa conducive environment ya kufanya negotiation na pia kuokoa mauzo katika soko lao ls hisa lilikouwa linaporomoka kwa kasi na ndio maana mzungu yule alikuwa very humble na very polite hali ambayo wenzetu wanaotazama mambo kwa mtazamo wa kisiasa wakaanza kujitangazia ushindi mapema.

Nachoamini hawa mabwana watakuja kwenye mazungumzo wakiwa teyari wameshakubaliana wao kwa wao A,B,C za mazungumzo na hata kama ni kutulipa labda kama kweli kuna tax evasion tofauti na hapo tusijidanganye sana sana wanaweza kutudai na katika fidia hiyo tukawa tunalipia hata gharama za safari ya CEO wao kuja hapa nchini na private jet.

Naamini kilichowasukumu kuja huku haraka haraka ilikuwa ni kujaribu kuokoa mauzo yao katika soko la hisa mauzo ambayo yalikuwa yanaporomoka kwa kasi na pia ili kupata mwanya wa kuanzia ku-challenge officially findings za kamati.

Kama huamini pitia taarifa zao katika min site walioinzisha mahususi ili kutoa taarifa kuhusiana na sakata hili uone wanachoamini na misimamo yao katika hili saga.

Tumetafsiri vibaya unyenyekevu wa yule mzungu na tukajiona washindi jambo ambalo si sahihi ingawa ni kweli mabwana hawa wametunyonya sana na kwa miaka mingi.

Time will tell.
Wametunyonya kwa hisani ya CCM
Wakiongozwa na Nkapa na Kikwet
 
Umesoma swali wewe mpiga disko? Narudia, CHADEMA mnasimamia nini? And get this into your twisted brain, you little twat, huna moral authority ya kuongelea unafiki because you symbolises every ill that confront this country. Miaka 8 mnaandamanisha watu, wengine wamekuwa vilema wakipinga ufisadi lakini leo mnajaza server kutetea ufisadi. Hamuoni aibu?
Jamani tusifike kwenye matusi hayo tusijekuta tunajitusi.
 
Mbona una mawazo hasi? Haya uliyoeleza ili tufanye nini sasa na yanamsaidia nani? Rais amesema tuzungumze na kitakachoonekana ni haki yetu wamekubali kulipa. Mambo usafiri was huyo boss wa Barrick yanatuhusu nini? Rais huyu siyo sawa na wale waliomtangulia. Soma Utube (kauli mzee Ruksa( rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi) kwamba rais JPM amefanya mambo makubwa katika mwaka moja kuliko wao wote watatu kwa miaka 30.
Ni mawazo yake aonavyo hiyo issue. Yeye hajakataa utendaji mzuri wa JPM ila ana wasiwasi kama tutalipwa hizo trillion.
 
Hizo zote ni siasa.
Kwa nini mawazo yako yasiwe ya kisiasa! Kama ni siasa nadhani hata huyo Boss wa Barrick kafanya siasa na kufanikisha kuokoa nafasi yao kwenye masoko ya hisa.

Je, bado una mtazamo kwamba watakaounda timu ya majadiliano watakuwa ni wale wale wa aina ya hao walioandaa mikaba mibovu na wenzao kutia sahihi!

Je, hao wanakamati hawatakuwa na uzalendo katika mazingira ya kila Mtanzania kuwa na mategemeo chanya!
 
Kwa taarifa yako.

Acacia wao hawaathiriki kivyovyote vile na kushuka kwa bei ya hisa zao.

Hata Barick ambaye ni shareholder mkubwa zaid nae haathirik Kwa kushuka huko kwa muda mfupi
Ila.....?
 
Swala la makinikia limenifundisha jambo kubwa sana, wakati watu wanalivuta liweze kukidhi malengo na matakwa yao ya kisiasa, mimi nililichukua kama somo kibiashara nikalinganisha na shule anayoitoa mdau Ontario kwenye shule ya Forex nikashangaa sana kuona ujio wa huyu kabaila ulivyogeuza uelekeo wa thamani za hisa za Acacia katika soko la hisa.

Wana akili sana,siku hile Rais angegomea mazungumzo au angeweka kisiki chochote nina hakika yule mzungu angepiga mogoti kuokoa soko lao la hisa.
Lakini aliweza kuingia akilini mwa Rais na kumaliza kilichomleta. Ule upenyo asingepewa tungeshinda hii vita kirahisi sana.
 
naomba nimjibie yeye had sasa yuko tz sijui wewe uko nchi gan?teh
Vizuri kwa kumjibia mimi nimeshindwa kumuelewa kwa nini wakati wote anaombea mabaya ndo maana nimemuuliza, Mzalendo hawezi kuombea mabaya nchi yake kisa kiongozi humpendi huu ni muda wa kutafuta njia za kuwashinda atakayeteseka sio JPM ni sisi, siasa za mwamba ngoma sizipendi na ndio maana nashindwa kuviamini vyama vilivyopo hapa nchini kwangu wakati wote wanawaza uchaguzi ujao hawako tayari kuipigania nchi bali kupigania maslahi yao tu ndio maana hatuendelei bado ninamuuliza mleta mada yuko upande gani ACACIA au TANZANIA siulizi yuko nchi gani hakuna nchi inayoita ACACIA nafikiri umenielewa
 
Aisee! Ebu nitajie jambo moja tu na matokeo yake (chanya) ambalo Magufuli kalifanya kuliko watangulizi wake wote.
Ni mengi sana. Ukusanyaji kodi, kubana matumizi ya serikali, wafanyakazi hewa, kuwabana mafisadi na sasa mikataba mibovu itarekebishwa. Mengine mwulize mzee Ruksa. I just quoted him.
 
Ni mawazo yake aonavyo hiyo issue. Yeye hajakataa utendaji mzuri wa JPM ila ana wasiwasi kama tutalipwa hizo trillion.

Mashaka yake akae nayo mpaka muafaka utakapofikiwa au utakaposhindikana. Mzalendo unatakiwa uitetee nchi yako kila wakati. Tijifunze kwa mataifa kama Marekani. Kisiasa na hata kisheria wanalumbana lkn kwa maslahi ya taifa wako pamoja. Kama kiongozi wao akiwa wa hovyo hata wabunge wa chama chake wanamtosa.
 
Mbona una mawazo hasi? Haya uliyoeleza ili tufanye nini sasa na yanamsaidia nani? Rais amesema tuzungumze na kitakachoonekana ni haki yetu wamekubali kulipa. Mambo usafiri was huyo boss wa Barrick yanatuhusu nini? Rais huyu siyo sawa na wale waliomtangulia. Soma Utube (kauli mzee Ruksa( rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi) kwamba rais JPM amefanya mambo makubwa katika mwaka moja kuliko wao wote watatu kwa miaka 30.
Makubwa ya kutia hasara nchi :eek:
 
Ni mengi sana. Ukusanyaji kodi, kubana matumizi ya serikali, wafanyakazi hewa, kuwabana mafisadi na sasa mikataba mibovu itarekebishwa. Mengine mwulize mzee Ruksa. I just quoted him.
Nimekwambia unitajie moja tu na matokeo yake chanya. Narudia tena kukuomba. Ebu kuwa more detailed na analytical kuliko kutoa sweeping statement.
 
Back
Top Bottom