Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 664
- 1,272
mbona ujenzi unaendeleaMwaka huu wapiga kura tuanamkiwa, Yale matusi na kejeli hatuzisikii tena, corona imewatibulia SGR, na Sligler hawana cha kujisifia,hwa MATAGA wapuuzi
Hawa wahuni Walisema wamejenga vituo vya afya kila wilaya lakini wameshindwa kuwa na maabara ya kupima korona kila wilaya
Hawa matapeli Walisema wana reserve ya kuhudumia nchi kwa miezi 6, Korona inakaribia kuwaumbua. Lakini wanaogopa lockdown ya mwezi mmoja tu