ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,492
- 8,295
Ubatili mtupu na kujilisha upepo!Kwani Sugu alivyofungwa tulipata nini?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubatili mtupu na kujilisha upepo!Kwani Sugu alivyofungwa tulipata nini?!
Hopeless caseKamanda yule mwenye sifa nyingi ikiwemo sifa ya kuweza kuona mbali na kuwa na ujasiri wa kusema bila woga na ambae hivi sasa yuko ughaibuni,aliwahi sema kuwa mtoto wa dada aliwekwa pale kwa kazi maalumu ingawa baadhi ya watu walimpinga na kumkejeli. Leo hii Mungu si Athumani kwani muda unathibitisha maneno ya kamanda wetu.
Hoja yangu ya msingi hapa si kukumbusha maneno ya kamanda wetu yule,bali ni kuwaonya na kuwaandaa kisaikolojia baadhi ya watu akiwemo mtoto huyo wa dada kuwa wajiandae kwa uwezekano wa kufikishwa kwa Pilato na baadae baadhi, kama sio wote, wanaweza kuiona jela iwapo watakuwa hai nyakati hizo zikifika.
Kwa hakika watu hawa ni wa kuhurumia sana maana wamekubali kutumika na wameshindwa kabisa kujiongeza.
Naomba niishie hapa.
Na wakati huo ukifika,bwana yule atakuwa anatazama tu kwenye tv wanavyopandishwa kwenye karandinga huku hana la kufanya.Naweza nisiwe na uhakika na mengi lakini uhakika nilio nao ni kuwa baadhi ya wateule wa awamu hii, tena wale watoto wapendwa, muda ukifika lazima waionje jela.
Umenikumbusha ile kesi ya mzee mkapa kama shaidi mahakamani sijui iliishiaga wapi...?Wale wawili walipofungwa tulipata nini?walikuwa wanashikilia fuko la fweza zooooteeeee za nchi,tulipata nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda
Kamanda yule mwenye sifa nyingi ikiwemo sifa ya kuweza kuona mbali na kuwa na ujasiri wa kusema bila woga na ambae hivi sasa yuko ughaibuni,aliwahi sema kuwa mtoto wa dada aliwekwa pale kwa kazi maalumu ingawa baadhi ya watu walimpinga na kumkejeli. Leo hii Mungu si Athumani kwani muda unathibitisha maneno ya kamanda wetu.
Hoja yangu ya msingi hapa si kukumbusha maneno ya kamanda wetu yule,bali ni kuwaonya na kuwaandaa kisaikolojia baadhi ya watu akiwemo mtoto huyo wa dada kuwa wajiandae kwa uwezekano wa kufikishwa kwa Pilato na baadae baadhi, kama sio wote, wanaweza kuiona jela iwapo watakuwa hai nyakati hizo zikifika.
Pia sitashangaa kuona "bwana yule" nae akitwaa mbele ya Pilato kutoa ushahidi kwani hata nae anaweza kuhusishwa/kutajwa.
Kwa hakika watu hawa ni wa kuhurumia sana maana wamekubali kutumika na wameshindwa kabisa kujiongeza.
Naomba niishie hapa.
Kamanda yule mwenye sifa nyingi ikiwemo sifa ya kuweza kuona mbali na kuwa na ujasiri wa kusema bila woga na ambae hivi sasa yuko ughaibuni,aliwahi sema kuwa mtoto wa dada aliwekwa pale kwa kazi maalumu ingawa baadhi ya watu walimpinga na kumkejeli. Leo hii Mungu si Athumani kwani muda unathibitisha maneno ya kamanda wetu.
Hoja yangu ya msingi hapa si kukumbusha maneno ya kamanda wetu yule,bali ni kuwaonya na kuwaandaa kisaikolojia baadhi ya watu akiwemo mtoto huyo wa dada kuwa wajiandae kwa uwezekano wa kufikishwa kwa Pilato na baadae baadhi, kama sio wote, wanaweza kuiona jela iwapo watakuwa hai nyakati hizo zikifika.
Pia sitashangaa kuona "bwana yule" nae akitwaa mbele ya Pilato kutoa ushahidi kwani hata nae anaweza kuhusishwa/kutajwa.
Kwa hakika watu hawa ni wa kuhurumia sana maana wamekubali kutumika na wameshindwa kabisa kujiongeza.
Naomba niishie hapa.
Hakuna mtu aliyeko karibu na rais anaweza pata shida tz,labda Rais husika aamue kukaa kimya tu
God first
Naweza nisiwe na uhakika na mengi lakini uhakika nilio nao ni kuwa baadhi ya wateule wa awamu hii, tena wale watoto wapendwa, muda ukifika lazima waionje jela.
Katibu mkuu wizara ya fedha ndugu Doto pombe siyo mtoto wa Dada yake magufuli bali ni mtoto wake live ingawa alizaa huko nje, kwa hiyo Doto na magufuli ni DNA moja ni mtu na mwanae wa Damu wameshika wizara nyeti wamenunua ndege kienyeji kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge na sasa kwa kuogopa ukaguzi wa mahesabu wamemuundia Zengwe CAG akimbie mwenyewe wapate kupona kujulikana juu ya ufisadi wao.Kamanda yule mwenye sifa nyingi ikiwemo sifa ya kuweza kuona mbali na kuwa na ujasiri wa kusema bila woga na ambae hivi sasa yuko ughaibuni,aliwahi sema kuwa mtoto wa dada aliwekwa pale kwa kazi maalumu ingawa baadhi ya watu walimpinga na kumkejeli. Leo hii Mungu si Athumani kwani muda unathibitisha maneno ya kamanda wetu.
Hoja yangu ya msingi hapa si kukumbusha maneno ya kamanda wetu yule,bali ni kuwaonya na kuwaandaa kisaikolojia baadhi ya watu akiwemo mtoto huyo wa dada kuwa wajiandae kwa uwezekano wa kufikishwa kwa Pilato na baadae baadhi, kama sio wote, wanaweza kuiona jela iwapo watakuwa hai nyakati hizo zikifika.
Pia sitashangaa kuona "bwana yule" nae akitwaa mbele ya Pilato kutoa ushahidi kwani hata nae anaweza kuhusishwa/kutajwa.
Kwa hakika watu hawa ni wa kuhurumia sana maana wamekubali kutumika na wameshindwa kabisa kujiongeza.
Naomba niishie hapa.
Hii ni alinacha! Hili haliwezitokea kwenye nchi ambayo barabara ya rami inajengwa kuelekea kwa rais mstaafu eti kwa sababu alikuteua kuwa waziri na kukupigia debe kuwa rais!!! Labda kama CCM itatoka madarakani!
Mkuu naona km umevuka mno mipaka. Mtoto Tena?Doto Katibu mkuu wizara ya fedha ni mtoto wa nje wa magufuli wala siyo mtoto wa dada, wamejimilikisha BOT Hazina wanajichotea pesa kienyeji hakuna wa kuwagusa
Hata Naibu Rais ndugu Daud Maliyamungu naye anasubiriwa kwa Hamu sanaNaweza nisiwe na uhakika na mengi lakini uhakika nilio nao ni kuwa baadhi ya wateule wa awamu hii, tena wale watoto wapendwa, muda ukifika lazima waionje jela.
Le profeseri aliipangua buana!Umenikumbusha ile kesi ya mzee mkapa kama shaidi mahakamani sijui iliishiaga wapi...?
Hii habari kama ni ya kweli,uchumi wa nchi upo rehani!Katibu mkuu wizara ya fedha ndugu Doto pombe siyo mtoto wa Dada yake magufuli bali ni mtoto wake live ingawa alizaa huko nje, kwa hiyo Doto na magufuli ni DNA moja ni mtu na mwanae wa Damu wameshika wizara nyeti wamenunua ndege kienyeji kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge na sasa kwa kuogopa ukaguzi wa mahesabu wamemuundia Zengwe CAG akimbie mwenyewe wapate kupona kujulikana juu ya ufisadi wao.
Daah. Tz kuna mambo mengi ya kufanya, basi hakuna shida mtoto wa Dada aendelee kuidhinishi mapesa ya kumpa anko atoe anaposimama kwenye majukwaa likibuma watafanya kama walivyofanya wenzake.