Mtazamo: Mtoto wa dada na wengineo wengi wajiandae kwenda jela miaka ijayo panapo majaliwa


S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,765
Points
2,000
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,765 2,000
Kamanda yule mwenye sifa nyingi ikiwemo sifa ya kuweza kuona mbali na kuwa na ujasiri wa kusema bila woga na ambae hivi sasa yuko ughaibuni,aliwahi sema kuwa mtoto wa dada aliwekwa pale kwa kazi maalumu ingawa baadhi ya watu walimpinga na kumkejeli. Leo hii Mungu si Athumani kwani muda unathibitisha maneno ya kamanda wetu.

Hoja yangu ya msingi hapa si kukumbusha maneno ya kamanda wetu yule,bali ni kuwaonya na kuwaandaa kisaikolojia baadhi ya watu akiwemo mtoto huyo wa dada kuwa wajiandae kwa uwezekano wa kufikishwa kwa Pilato na baadae baadhi, kama sio wote, wanaweza kuiona jela iwapo watakuwa hai nyakati hizo zikifika.

Pia sitashangaa kuona "bwana yule" nae akitwaa mbele ya Pilato kutoa ushahidi kwani hata nae anaweza kuhusishwa/kutajwa.

Kwa hakika watu hawa ni wa kuhurumia sana maana wamekubali kutumika na wameshindwa kabisa kujiongeza.

Naomba niishie hapa.
 
ruby garnet

ruby garnet

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Messages
1,660
Points
2,000
ruby garnet

ruby garnet

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2017
1,660 2,000
Hizi code nimeshindwa kuzifungua. Ila naendelea kusoma komenti kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa Dada, yeye kumwaga cash tu kwa amri za kiongozi wa malaika bila documents zozote. Malaika kiongozi anakinga Ila yeye hana. Bahati mbaya akichota pesa ili kugawa arama za vidole vyake vinabaki milele na milele. Mtoto wa Dada kazi unayo baada ya 2025. Na wanakijani walivyokeleka hawataruhusu hata kidogo mpambe wa malaika kiongozi kushika hatamu 2025 kama mzee wa msoga alivyofanyiwa 2015 hadi mnazi ukaokotwa kwenye muembeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kawoli

kawoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
3,534
Points
2,000
kawoli

kawoli

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
3,534 2,000
Mtoto wa Dada, yeye kumwaga cash tu kwa amri za kiongozi wa malaika bila documents zozote. Malaika kiongozi anakinga Ila yeye hana. Bahati mbaya akichota pesa ili kugawa arama za vidole vyake vinabaki milele na milele. Mtoto wa Dada kazi unayo baada ya 2025. Na wanakijani walivyokeleka hawataruhusu hata kidogo mpambe wa malaika kiongozi kushika hatamu 2025 kama mzee wa msoga alivyofanyiwa 2015 hadi mnazi ukaokotwa kwenye muembeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu nimepata mwanga Sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,765
Points
2,000
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,765 2,000
Ndio maana wanampigia chapuo la kuendelea kutawala ili dhahma hilo huko mbeleni lichelewe kuwakuta
Zama zao zimeshapita na hata Mungu hayuko upande wao na ndio maana wanaboronga kwani kawanyima maarifa ili waangamie.

Ukitaka kuelewa hili,angalia maamuzi ya kijinga wanayofanya na ambayo mwisho wa siku yatakuja kuwagharimu wao wenyewe.Yaani ni kama vipofu na watu wasioweza kutazama mbele hata mita mia moja na kuchukua tahadhari.
 
L

lukoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Messages
1,829
Points
2,000
Age
41
L

lukoma

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2013
1,829 2,000
Hii ni alinacha! Hili haliwezitokea kwenye nchi ambayo barabara ya rami inajengwa kuelekea kwa rais mstaafu eti kwa sababu alikuteua kuwa waziri na kukupigia debe kuwa rais!!! Labda kama CCM itatoka madarakani!
 

Forum statistics

Threads 1,285,033
Members 494,367
Posts 30,847,817
Top