Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

Hapana mkuu mimi hiyo hali nishai master ,nikikutana nao nawaangalia tu ila kusimamisha ni ule mda nimelala kitandani usiku nawaza matukio ya siku nzima
hahahahahahahaha.........Ila wewe jamaa unanichekesha sana, kwa hiyo ikifika usiku kichwa kinaanza kucheuwa matukio thereafter unamalizia hasira zako wapi?
 
hahahahahahahaha.........Ila wewe jamaa unanichekesha sana, kwa hiyo ikifika usiku kichwa kinaanza kucheuwa matukio thereafter unamalizia hasira zako wapi?
Hahahahaha unauliza tena ?? Kama mama mwenye nyumba hayuko karibu ...naenda kuoga nusu saa kinachotokea huko ni kupeleka watoto bwawani sekondari kuogelea
 
Hahahahaha unauliza tena ?? Kama mama mwenye nyumba hayuko karibu ...naenda kuoga nusu saa kinachotokea huko ni kupeleka watoto bwawani sekondari kuogelea
Hahahaha...........basi mkuu umemaliza kazi
 
Hahahahaha unauliza tena ?? Kama mama mwenye nyumba hayuko karibu ...naenda kuoga nusu saa kinachotokea huko ni kupeleka watoto bwawani sekondari kuogelea

Hahaaaaa mkuu unatisha.. Upo na demu wako ayuu unakula raha kivyakovyako
 
Maskini ulivyo ongea hadi unatia huruma.Ila tatizo joto jamani....
mmmmh! itakuwa ww ndio nimekuona leo umenisbabishia balaa tupu, km vp tutafutane tumalizane kbs maana hali ni tete
 
Dada zetu siku hizi hawapendi kuvaa chupi kabisa..Wenyewe wanadai wanataka wapigwe upepo kunako. Sasa wengine nguo wanazovaa ni hatari tupu,unakuta kavaa nguo lainii na mzigo kajaliwa huo mtikisiko sasa mpaka presha zinatupanda. Na wengine mpaka tamu yote inaonekana. Dada zetu hembu tuoneeni huruma sisi watoto wa watu. Tunajua ni utandawazi lakini sasa mmezidisha.
Wewe umeandika kama unachukia ila najua unapenda tu. Wanaume wengi wanapenda sana wanawake wawe nusu uchi au uchi kabisa barabarani na ndo maana nao wale wanavaa vile.. Mambo ya kula kwa macho c unajua.. Ila unajifanya eti wanachukia.. Just be honest
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom