Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

Mtuwache maadam hatuvunji sheria. Kwanini mnatuingilia uhuru wetu lakini?
Hivi kale kasheria ka kuzuia nguo fupi, zakubana bila kufuli ka baba magu sijui kameishia wapi. Kanawafaa sana nyie
 
Mkuu kwani ni kosa kisheria kutembea huku umesimamisha ?? Wewe ukiwaona simamisha tu
Shida ni pale unakumbwa na mfadhaiko, ndugu yangu usiombe jioni uwe kwenye daladala la Mbagala halafu awe amesimama mbele yako na hana pichu. Ile laiiini iwe inakugusa kunako kila wakati, unaweza kuumbuka!
Na wadada wenyewe walivyo na kusudi kila unapokwepesha, yeye analengesha. Ukipeleka kushoto yupo, kulia kategesha, unaweza kushuka BP bila kutegemea.
 
Dada zetu siku hizi hawapendi kuvaa chupi kabisa..Wenyewe wanadai wanataka wapigwe upepo kunako. Sasa wengine nguo wanazovaa ni hatari tupu,unakuta kavaa nguo lainii na mzigo kajaliwa huo mtikisiko sasa mpaka presha zinatupanda. Na wengine mpaka tamu yote inaonekana. Dada zetu hembu tuoneeni huruma sisi watoto wa watu. Tunajua ni utandawazi lakini sasa mmezidisha.
Usione watu wanatembea wametundika makoti kwenye siti za magari yao ukadhani wanayapeleka mahala,lahashaaa ni kwa dharura kama hizo,ukidindisha unagonga koti mishe zinaendelea
 
Usione watu wanatembea wametundika makoti kwenye siti za magari yao ukadhani wanayapeleka mahala,lahashaaa ni kwa dharura kama hizo,ukidindisha unagonga koti mishe zinaendelea
Duhh hii nayo kali!
 
Shida ni pale unakumbwa na mfadhaiko, ndugu yangu usiombe jioni uwe kwenye daladala la Mbagala halafu awe amesimama mbele yako na hana pichu. Ile laiiini iwe inakugusa kunako kila wakati, unaweza kuumbuka!
Na wadada wenyewe walivyo na kusudi kila unapokwepesha, yeye analengesha. Ukipeleka kushoto yupo, kulia kategesha, unaweza kushuka BP bila kutegemea.
Mkuu ila na wewe hapo kama ulikua unaenjoy anavyoifwata la sivyo ungemuambia. Ingekua mm ningeendelea kugusakusa tu si kataka mwenyewe
 
Wamaasai wanaume baadhi hata hawavai pichu na wadada hawajalalamika.

Chamsingi mtoa uzi endelea kuvumilia maana kwa sasa tupo kwenye transition kuelekea kule kwenye mavazi yetu kabla ya wazungu na waarabu hawajatutawala
 
Mkuu ila na wewe hapo kama ulikua unaenjoy anavyoifwata la sivyo ungemuambia. Ingekua mm ningeendelea kugusakusa tu si kataka mwenyewe
Mkuu naogopa mfadhaiko, unaweza ukachinju halafu watu wakashangaa unatetema hovyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom