Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

UncleBen hauna kapicha japo nikaona hao wadada Wa mujiniii
Teh teh afande Maduhu bana nenda kitengo cha uhamiaji utawakuta hao wadada wa uhamiaji utafikiria ni watoto wa baba mmoja wengi wao wana balaa
 
Ukisimamisha si atajaza watu .....
Kivipi sasa Dr ?? Wewe unatembea zako huku ukipiga mluzi hao watu atakujazia vipi ?
Nliposema wewe simamisha tu sio huyo bi dada uliyemwona ,simamisha kichwa cha chini
 
Ha ha ha uku bunda hawa wajita si washamba......aisee
Sasa na wewe unashindwa kutafuta hata kisafari cha uongo na kweli ,uende Mbeya,Mwanza au Bukoba ?? Au Uncle Magu ukim beep anakupigia ??
 
Sasa na wewe unashindwa kutafuta hata kisafari cha uongo na kweli ,uende Mbeya,Mwanza au Bukoba ?? Au Uncle Magu ukim beep anakupigia ??
Mkuu kwani Marekani nako pia hawavai chupi...Ndo ninasafari ya kwenda huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom