Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

Yaani sijui ni ukata au nao wanakua na ugwadu ili wapopolewe wanayatingisha hadi shetani mwenyewe anaona wivu punguzeni kidogo jamani ingawa wanasema fahari ya macho haiumizi duka aah! vaeni pichu.
Ngoja waje kujibu hoja
 
Yan wadada siku hizi badala wavae chup* zifunike makalio, sasa hiv ni mpaka ufunue makalio ndo unakuta chup* #team bikin
 
Hii ni hatari kweli tulikua stendi mdada na kisketi chake upepo ukapiga vuuuuu kikapanda ndani hajaweka kitu watu wooooooote abiria, makonda, madereva tuliona njenje yake
 
Hapana mkuu mimi hiyo hali nishai master ,nikikutana nao nawaangalia tu ila kusimamisha ni ule mda nimelala kitandani usiku nawaza matukio ya siku nzima
Hahaaaa wewe ni noma..Wenzio ukiona tu hali inabadilika pale pale. Watasababisha tupate ajali na baiskeli zetu mana unakanyaga mafuta pasipo kujielewa
 
Hii ni hatari kweli tulikua stendi mdada na kisketi chake upepo ukapiga vuuuuu kikapanda ndani hajaweka kitu watu wooooooote abiria, makonda, madereva tuliona njenje yake
Duu hiyo ni balaa...Kilichofwata itv ni kipi mkuu
 
duuuu umejuaje aiseeeeeeeee!! hata mimi nimeliona hili
 
Yan wadada siku hizi badala wavae chup* zifunike makalio, sasa hiv ni mpaka ufunue makalio ndo unakuta chup* #team bikin
Hahaaa eti mpaka ufunue makalie ndo ukute kufuli.. mkuu una utani na dada zetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom