"Mtarimbo Umepinda" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Mtarimbo Umepinda"

Discussion in 'JF Doctor' started by Boflo, Jan 22, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nina dada yangu ameolewa ni miezi 2 sasa, tumezoena sana kiasi ambacho hunipa hata siri zake, kuna jambo linamtatiza kuhusu huyu bwana, akaniulizia na mimi limenishinda na anaogopa kumuuliza mumewe, nikaona bora nililete hapa jamvini kuna wataalam waliobobea kama THE BOSS, na wengineo. Swali ni kuwa huyu mumewe, mtarimbo wake umepinda upande wa kushoto,kwa waliosomea hesabu; yaani sio right angle ni about 45degrees. Alichoniuliza ni kuwa huku kupinda sio tatizo?? Na kama sio tatizo kuna njia yoyote ya kufanya mpaka mtarimbo ukaweza kuwa straight??
  Naombeni michango yenu nipate kumsaidia dada yetu.
   
 2. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  huyo dadako hakufundwa?hata kama mmezoeana vp kuna mambo inabidi mmfichie patner wako,anakwambia ww ili iweje?hebu jaribu kumpeleka dadako hsp sidhani kama ana akili vzr,mambo ya ndani anapeleka nje so na ww mambo yako unamwambia?hata kama mngekuwa mapacha!zea r things vry personal and family affairs n should be kept at privace!
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahaha!
  wazee sredi zenu muwe mnaziweka sawa kidogo!.........
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Pearl, soma jina la huyu muungwana!! ndo maana kashindwa kumwelekeza "dada yake"!!
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ok thats y!!!!!!!!!!!
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Usidiscuss ishu kama hiyo na dadako, watu watakuweka kwenye kundi baya!
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mchango wangu mimi ni acha kuingilia mambo ya ndani yasiyokuhusu.
   
 8. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  dah,jamaa anaitwa BWABWA. KAAZI KWELIKWELI.
   
 9. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2010
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kali, anyway mtarimbo unapinda kutokana na kuwa alikuwa akiubana tight na underwear upande wa kushoto, njia ya kufanya, sasa anatakiwa aubanie upande wa kulia ili kuuvuta urudi katika normal position
   
 10. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2010
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Wewe kaka-dada,

  hii issue si umeitoa kule kwa Dinalious,sasa mbona au wewe ndiye unaye umizwa na huo mtalimbo.?
   
 11. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Mtarimbo unafanya kazi yake ipasavyo? au umepinda na kulala doroo?? Kama umepinda na huyo dada yako anafurahia mapigo then maisha ni mswano tu!!
   
 12. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Bwabwa??????????? Dunia kwishne.
   
 13. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2010
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hivi wewe unadadanaje nae hata mkae kuongelea mitarimbo? mwonyeshe wa kwako labda umenyoka kidogo.
   
 14. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mie nadhani mtalimbo kupinda ni maumbile tu mradi kazi inaendelea kama kawaida. Huyo dada amekueleza kama kupinda kwake kunamuathiri kwa lolote say kumuuimiza? Huyo jamaa kama anajua kuutumia vema mtalimbo wake a.k.a kuuzungusha humo ndani nadhani huyo dada atachanganyikiwa maana una uwezo wa kufika hata kona zilizojificha kama RAID IT!
   
 15. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  BWABWA mitalimbo yetu wanaume wengi imepindia kushoto kutokana na namna tunavyoihifadhi kweye c....pi. Wewe wako umepindia wapi? Au wewe haujawahi kusimama? Maana hilo jina lako linaleta utata.
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  BWABWA
  Member
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join Date: Wed Jan 2010
  Posts: 11
  Thanks: 1
  Thanked 1 Time in 1 Post

  wazee hata majina muwe mnaangalia kidogo!....
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sikitiko!!!

  Bandiko kama hizi zinashusha sana hadhi ya jamvi letu tukufu na turufu, hivi kweli kabisa kwa akili yako timamu unaweza kutunga dibaji kama hiyo? kama wewe ni bwabwa manake ushapelekwa mot wa kutosha, ulikua na haja gani ya kuja kutuchafulia bango letu na najisi? wewe kama bwabwa unajua kabisa protocols za usiri wa wanandoa hata kama wewe ni punga, are you nuts?

  Bwabwa manake ni punga, aka sh0g@ aka kibunye... i am not homophobic but i am worried kwamba huyu jamaa kaja kuachia mashuzi tu hapa... may God serve you properly
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Jan 22, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Geoff... achana na huyu jamaa... naona analeta dimension nyingine kuhamasisha w@senge wooote wawe nae... too bad kachemsha
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kweli bwana!
  naona kuna vijana wengine akili mbado kabisa
   
 20. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2010
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni jibu zuri, au unataka ujibiwe na BOSS kama ulivyodokeza....msubiri atakuja tu
   
Loading...