"Mtarimbo Umepinda"

Huyu ni mgeni, tumsaidie kusudi next time asilete habari ya dada-kaka! Mwambie huyo Dadaako, amwambie shemeji yako, awe anavaa ch__i za BOXER. Mtalimbo utarudi taratibu.. Ila achana na Kuzoeana hivyo na dadaako.. Unaona wakubwa wanavyokuonya huko juu???
 
Jina la aliyeleta thread hii ni utata mtupu na ninawalaumu Mods waliomruhusu kujisajili kwa jina hilo.

Jamani heshimuni maadili ingawa tunaficha ID zetu.

Kwa sisi tulioanza kuvaa chupi tukiwa na miaka 20 hakuna tatizo la mpingo kupinda wala kwenda tenge. ngoma imenyooka kama rula walah
 
Huyo dadako amejuaje umepinda?...kuelekea kushoto au kulia haimaanishi umepinda. Inawezekana hata unavyoelekea mbele, chini au juu unakuwa umepinda. Mweleze dada kuwa staili anayotoa ndio inafanya huo mtalimbo ukae hivyo ulivyo, lakini sio "umepinga".

Kama yeye amezoea kuuelekezea kwa nyuma kushoto, basi utakuwa umefuata hizo "degrees"....kuunyoosha ni kuuelekezea mbele kwa chini ukiwa unaita!.
 
Wewe kaka-dada,

hii issue si umeitoa kule kwa Dinalious,sasa mbona au wewe ndiye unaye umizwa na huo mtalimbo.?

DK ........Well said!

BWABWA......Tells everything! : DADA=BWABWA!

BWT: Habari za siku Mkuu Domo Kaya?
 
Bwabwa,
Nyambafu,shida ya dada yako umsaidie shem wako kuunyoosha kwani na wewe ni bwabwa msaidie tu usitegemee kuna mtu atakushauri ubaradhuri hapa.
 
Jina la aliyeleta thread hii ni utata mtupu na ninawalaumu Mods waliomruhusu kujisajili kwa jina hilo.

Jamani heshimuni maadili ingawa tunaficha ID zetu.

Kwa sisi tulioanza kuvaa chupi tukiwa na miaka 20 hakuna tatizo la mpingo kupinda wala kwenda tenge. ngoma imenyooka kama rula walah

Mkuu hapo unaleta shaka. Kwa taarifa za wataalamu wa maumbile twaambiwa kwamba mipingo yetu wote haikosi kona mahali; tunapishana kwa mwelekeo na tanjenti tu!
icon10.gif
 
BWABWA mitalimbo yetu wanaume wengi imepindia kushoto kutokana na namna tunavyoihifadhi kweye c....pi. Wewe wako umepindia wapi? Au wewe haujawahi kusimama? Maana hilo jina lako linaleta utata.

Well said. Nafikiri mleta mada amekosea jinsi ya kuielezea kwa kujipatia uhusika ndiyo maana watu wanamshambulia badala ya kumpatia sababu za kidaktari au kisayansi. Kwa kuwa ni mgeni jamvini ningeomba tusimfanye aogope kuanzisha thread next time.
 
Huyu hana lolote ni yeye ndio Mtarimbo umepinda ,ila ana singizia eti shoga yake mumewe ndio kapinda mtarimbo!.
Next time mikwa mna oneglea wewe na shosty wako kuhusu Shopping and gossiping kumbuka kua ...... Mtarimbo kupinda sio ajabu , wengi mitrarimbo yetu imepinda ,zamani kabla sija ona porno movies , nilidhani nina kilema kumbe ndio hivyo tena maumbile ya kuzaliwa mambo ya genetic hayo, nimebahatikakupata katoto kamoja ka kiume, juzi juzi tuu, nime gundua naye kamtarimbo kamepinda kama mimi baba yake .
 
MH!!!!!!!!!!!!

JF ukiingia vibaya unapata za uso

ahahahahahahahahahahahahha

Hata jila lake huyo ni !!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu hana lolote ni yeye ndio Mtarimbo umepinda ,ila ana singizia eti shoga yake mumewe ndio kapinda mtarimbo!.
Next time mikwa mna oneglea wewe na shosty wako kuhusu Shopping and gossiping kumbuka kua ...... Mtarimbo kupinda sio ajabu , wengi mitrarimbo yetu imepinda ,zamani kabla sija ona porno movies , nilidhani nina kilema kumbe ndio hivyo tena maumbile ya kuzaliwa mambo ya genetic hayo, nimebahatikakupata katoto kamoja ka kiume, juzi juzi tuu, nime gundua naye kamtarimbo kamepinda kama mimi baba yake .

See a doctor faster, usituharibie mtt ati karithi, nooooooo!
 
Nina dada yangu ameolewa ni miezi 2 sasa, tumezoena sana kiasi ambacho hunipa hata siri zake, kuna jambo linamtatiza kuhusu huyu bwana, akaniulizia na mimi limenishinda na anaogopa kumuuliza mumewe, nikaona bora nililete hapa jamvini kuna wataalam waliobobea kama THE BOSS, na wengineo. Swali ni kuwa huyu mumewe, mtarimbo wake umepinda upande wa kushoto,kwa waliosomea hesabu; yaani sio right angle ni about 45degrees. Alichoniuliza ni kuwa huku kupinda sio tatizo?? Na kama sio tatizo kuna njia yoyote ya kufanya mpaka mtarimbo ukaweza kuwa straight??
Naombeni michango yenu nipate kumsaidia dada yetu.

Na dada yako lazima mtakuwa na wazimu nyie.
 
Huyu Bwana/Bibi Bwabwa post zake zote 11 alizotuma zinamlengo mmoja, mara Mtalimbo umepinda mara haki za mashoga na vitu kama hivyo,
hivi alipata ukaribisho humu JF au aliingia tu?
Bwana/Bibi Bwabwa naomba upige hodi vizuri na ningependa nikukabidhi kwa kakangu MASANILO ili akupe mapokezi mazuri ndani ya mjengo
 
Nina dada yangu ameolewa ni miezi 2 sasa, tumezoena sana kiasi ambacho hunipa hata siri zake, kuna jambo linamtatiza kuhusu huyu bwana, akaniulizia na mimi limenishinda na anaogopa kumuuliza mumewe, nikaona bora nililete hapa jamvini kuna wataalam waliobobea kama THE BOSS, na wengineo. Swali ni kuwa huyu mumewe, mtarimbo wake umepinda upande wa kushoto,kwa waliosomea hesabu; yaani sio right angle ni about 45degrees. Alichoniuliza ni kuwa huku kupinda sio tatizo?? Na kama sio tatizo kuna njia yoyote ya kufanya mpaka mtarimbo ukaweza kuwa straight??
Naombeni michango yenu nipate kumsaidia dada yetu.

Wewe mbona ukiwa ****** unakunya huwambii mtu umeshindwa kuchamba au umejamba baada ya kunya???
 
Huyu punga anataka kutuzingua tu hana lolote, amedeclare mwenyewe kuwa yeye ni shogandio maana hata mada zake zina muelekeo huo huo, kama wewe ni shababi unawezaje kukaa na dada yako mkazungumzia upuuzi huo...halafu hizi mada za kuiba toka kwenye forums nyingine nakushauri next time uwe una acknowledge na kuonyesha source yake, sio kukopi matatizo ya watu wengine na kuyafanya yako..shwain
 
Mwambie dada yako (au ni wewe mwenyewe?) kuwa khakuna matatizo. Mara nyingi kwa watu wente kuvaa nguo za kubana, huwa vigumu "kupark" katikati, kwani hii hulazimisha kuuelekeza mtarimbo juu kitovuni au kuupindia uvunguni. Hivyo kama 'unapark" kushoto au kulia, matokeo ni kuwa ukisimama huonekana kuelekea upande, lakini kwa kuwa si mfupa, huwa kakuna matatizo wakati wa kuingia kwenye nyufa za mawe!
 
akuna cha dadake wala nn ni yy mwenyewe amekumbana na maswahiba hayo ameshindwa kujieleza mojakwamoja huyo bwabwa ana lolote uo mtarimbo unao huo endelea tu utanyooka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom