Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania wa kwanza kupanda mt evarest - Wilfred Moshi

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mwakalinga Y. R, May 19, 2012.

 1. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,721
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135

  Wilfred amekuwa mtanzania wa kwanza kuweka historia ya kupanda mlima mrefu kuliko yote duniani.Amefika kileleni leo 19/05/2012 saa 3 asubuhi.

  HONGERA SANA BWANA WILFRED MOSHI KWA UJASIRI NA USHUJAA ULIOTUONYESHA KWA WEWE KUTIMIZA NDOTO ZAKO.
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,587
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Ahsante kwa taarifa mkuu, ila ungenipa maelezo kidogo kuhusu huyo jamaa moshi anapiga kazi wapi au ni mwanafunzi?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,404
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 24,427
  Likes Received: 3,390
  Trophy Points: 280
  Nadhani huyo ni mchagga. Dah wachagga ni balaa.
   
 5. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,721
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huyo jamaa ni Porter mlima kilimanjaro,alionyesha nia yake muda mrefu na akatangaza nia pamoja na kuomba michango.Ila taarifa zisizo rasmi alipata support kubwa kwa watu wasio watanzania husasani dubai.
   
 6. cmoney

  cmoney JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  dah mdau naanza kukushusha sasa yaani we unaona sifa ukisikia diamond anatoka wema nn...mi kwa mtazamo wangu baada ya kupanga na kufanikiwa panda mlima kilimanjaro jamaa anajulikana sana kwa wapanda mlima na mimi nadhani ameweka historia nzuri tu kwa watanzania ...we huoni wenzetu wanfikilia kwenda kutembelea mwezini?
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,202
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
 8. chuchunge

  chuchunge Senior Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  King Kong anaonyesha ana shule ndogo na low exposure!
   
 9. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,207
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Anastahili pongezi! Kwani kuna wachagga kibao wanauangaliaga mlima kilimanjaro kutokea kiboriloni au machame ila hawajawahi kuukaribia.
   
 10. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,728
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hongera sana bwana Moshi,lakini nimejiuliza iweje historia hii iwekwe leo 2012.,siku zote tulikuwa wapi?,ina maana hatuna interest au ni umaskini ndio kikwazo.
   
 11. Sabasaba

  Sabasaba Member

  #11
  May 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 78
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15
  Hongera sana Wilfred Moshi, mwenye taarifa zaidi kuhusu hii safari atuleezee, manake nilisikia hii team ya Wilfred Mosha na wenzie walikuwa na mpango wa kupanda seven summits, yani kila kilele kwenye mabara yote kwenye dunia hii wangefika. Tumpe haki yake Wilfred anastahili lunch ya Ikulu na yule mtalii wetu
   
 12. Sabasaba

  Sabasaba Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 78
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15