Mtanzania Charles Mihayo jela maisha

Mtanzania Charles Mihayo jela maisha

too sad aisee,,hakuna sababu nzito ya kutoa uhai wa watoto wako mwenyewe
 
Tuwe na mawazo ya king.k
Rip ma sweties jamani
Huko hakuna adhabu ya kifo wangemuua tu mbwa huyu...hana uhusiano na jaji mihayo kweli???
 
lazima atakuwa na hitilafu kichwani ingawa hilo kwangu si udhuru wa yeye kutokuadhibiwa vikali.

Mtu mwenye akili timamu ni vigumu sana kufanya hivyo.
mkuu nyani n
huyu mkewe anamsaidia nani ...yule wa miaka 12 tulikupa uwe mwangalizi wake
embu tafuta huyu tumpe nani??hivi stroke alisharudi??unawezakumkabidhi ukatuwekea tu makabidhiano humu
 
mimi naskitika kuwa hao watoto warembo wamekufa na vipapuchi vyao bila ya kufka umri wa kuonjwa achilia mbali kuonjwa kabisa. daaahhh just think of utamu walioondoka nao tu.😀😀😀😀😀

we chizi kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Apo ndio utaamin sisi binadam waajabu kama wanyama wa polini mtu anauwa watoto wake wazuri ivyo???
Aisee we acha tu yani ni balaaaa!!!!!! Mihayo dizaini kama jina la kinyamwezi au kisukuma hivi , hayo makabila hayana ukatili wa kiasi hicho.
 
Nyie wanaume hivi mna nini?
Mnatuacha nyie wenyewe kwa dharau na kashfa nyingi.
Na unaona shida kuwaona watoto wakiwa na mama yao, hadi unaamuwa kuwauwa.
Loooh, ni nini hiki sasa.
Ni heri wangemhukumu huyo mwanaume kunyongwa hadi afe.
 
I totally disagree with you! Unaweza kuoa mwanamke kutoka nyumbani na akakukataa au akawa na tabia mbovu mno, Nina rafiki zangu 3 wameoa wazungu na maisha yanawaendea vizuri sana, Na wanawake wapo tayari hata kuishi bongo, it's all about choices & luck tuache stereotypes.
Sio Wote wanaume weusi

wanao bahatika kuwaowa wanawake wa kizungu wazuri. Huku Ughaibuni ukiowa Mwanamke yoyoyte huna ruhusa ya kumpiga hata kofi huruhusiwi hata

mtoto mdogo ukimpiga unakwenda jela. Huku Mtoto ana sauti na Mke ana sauti kuliko Mume unasemaje ndugu mimi nipo

huku Ughaibuni zaidi ya miaka 20 sasa ninajuwa nje na ndani Tabia za wanawake weupe ni wachafu kwa tabia anaweza

Mke wako mweupe kukwambia leo anataka kutoka (out) anakwenda Disko au Sinema wewe kaa nyumbani na watoto

anatoka na mpenzi wake wa zamani wewe chunga watoto na ukileta wivu wa kibongo bongo anakurudisha nyumbani .

Utaniambia kitu gani kuhus hawa wanawake wa kizunguı mimi Mkuu sokwe Chezea wanawake weusi usicheze na

Wanawake wa Weupe imekula kwako hiyo.
 
Last edited by a moderator:
WaTanzania bhaana, Eti alitaka amkomoe MamaAustraly ".... IQ za kibongo !! Kabla ya hayo alikuwa BALOZI mzuri kwa waTanzania sasa amekuwa Katili,Muuwaji,Jambazi,Gaidi mkubwa wa Kitanzania !! Atamaliza adhabu ya AUSTRALIA.... Lakini adhabu ya jehanam inamgoja huko.... Na humo jela dhamira itamamsuta 24/7 !!
 
Pale Sumbawanga kuna Mfungwa mbabe/nyampala wa gereza,yeye kila mfungwa mpya akifika anampokea yeye.Huyu jamaa kazi yake ni kutoa hukumu ya pili baada ya hakimu. Kama umefungwa kwa kosa la kijinga yeye anakuchagulia adhabu,kama umefanya kosa la mazingira flan ya kuonewa au ktk harakati za kujitafutia kwa akili anakutetea hakugusi mtu gerezani. Kuna jamaa alifungwa kwa kuua mtoto na mkewe jamaa aliamuru alawitiwe. Huyu jamaa alifungwa bila kosa alimwekea mtu dhamana,aliepewa dhamana akamwibia tena mchina na kumuua na akatoweka mpaka leo.Natamani huyu jamaa angefungwa pale Sumbawanga akalawitiwe- Source mkuu wa gereza.
 
Sio Wote wanaume weusi

wanao bahatika kuwaowa wanawake wa kizungu wazuri. Huku Ughaibuni ukiowa Mwanamke yoyoyte huna ruhusa ya kumpiga hata kofi huruhusiwi hata

mtoto mdogo ukimpiga unakwenda jela. Huku Mtoto ana sauti na Mke ana sauti kuliko Mume unasemaje ndugu mimi nipo

huku Ughaibuni zaidi ya miaka 20 sasa ninajuwa nje na ndani Tabia za wanawake weupe ni wachafu kwa tabia anaweza

Mke wako mweupe kukwambia leo anataka kutoka (out) anakwenda Disko au Sinema wewe kaa nyumbani na watoto

anatoka na mpenzi wake wa zamani wewe chunga watoto na ukileta wivu wa kibongo bongo anakurudisha nyumbani .

Utaniambia kitu gani kuhus hawa wanawake wa kizunguı mimi Mkuu sokwe Chezea wanawake weusi usicheze na

Wanawake wa Weupe imekula kwako hiyo.
Kweli usemayo Mkuu.................................... Lakini yote kwa yote NO JUSTIFICATION !! au siyo.
 
Hebu jamani tujaribu kuangalia upande mwengine wa sarafu hapa,huyu jamaa kunauwezekano kachizika na sabau ni hizi sheria zao za kupendelea upande mmoja kati ya wana ndoa wawili.Huenda mahakamani walimnyang'anya mke na kuchukua au kumpa custody rights zote za ulezi mwanamke peke yake,wakati mwingine huwa zinaweza zikawa very brutal na harsh na kama kichwa chako hakiko sawa utaishia kuwa criminal kama Mr Mihayo.
Hawa wazungu tuwaangaliye hivi hivi,cha kwanza wanachokipenda kutoka kwetu sisi weusi ni sehemu ya kustareheshwa na ikitokea kapata mimba hiyo inakuwa sio mbaya na atazaa na pindi akishazaa starehe na yeye huwa inapunguwa na kawaida yao hutafuta mtu mpya na akiisha mpata visa vinaanza mpaka utaachia manyanga wewe mwenyewe hata kabla ya mahakama kuingilia kati.Mimi namuona Mr Mihayo kama yeye ni victim hapa katenda tendo bila kujijua na kuujua ubaya wake na sasa anajionea mwenyewe na ninauhakika ameisha tia akili kichwani mwake hivi sasa.Yaani mwanaume mzima utawezaje kuua damu yako mwenyewe?huyu jamaa katudhalilisha sisi wabongo wote na watu wote wa Africa mashariki kwa ujumla,matusi makubwa sana hayo.M/Mpamba.

Mi hata simlaumu ukute alikua anaitwa nyani na mZAZI mwenzie hadi na hao watoto.kaona isiwe tabu
 
Excuse me!!!!!!! Alinishangaza huyo jamaa ati kuachwa na mkewe aue watoto daaaa afungwe tu for good watoto wazuri wale masikin ya mungu daaaa
 
Alichokifanya nikibaya sana ila kama unajua maisha ya ndoa ughaibuni na ukampata mwanamke mkorofi na anayejua kutumia sheria zinazolinda wanawake. Chochote kinaweza kutokea. Mimi namfahamu mkenya alie mpiga mkewake nyundo kwaiyo sishangai. Nishaona wanaume wanalia kama watoto na kufanywa kama house girl.
 
Nyie wanaume hivi mna nini?
Mnatuacha nyie wenyewe kwa dharau na kashfa nyingi.
Na unaona shida kuwaona watoto wakiwa na mama yao, hadi unaamuwa kuwauwa.
Loooh, ni nini hiki sasa.
Ni heri wangemhukumu huyo mwanaume kunyongwa hadi afe.

kuna tofauti gani na nyie mnaotupa watoto kwenye mifuko ya rambo? ,
 
IN australia..thats the max. sentence a judge could offer..

and he'll be eligible for parole after 31 yrs?!, that means he mighty be able to walk away as a free man!, after doing this?!
 
Back
Top Bottom