Mtanzania Charles Mihayo jela maisha

Mtanzania Charles Mihayo jela maisha

ukatili hauna kabila,dini wala rangi.

Bahati mbaya wapo watu wanaoamini hivyo, kwamba ukatili unahusiana na rangi, dini, kabila, na kadhalika ilhali uhalisia wa mambo uko tofauti na hizo imani zao.

Kwangu mimi huo ni ujinga. Nasema ujinga kwa sababu kama kweli mtu anajua (tukifuata fasili ya neno ujinga) basi hawezi kufikia hitimisho la kijinga namna hiyo kwa sababu haya matukio ya ukatili hutokea kila mahali.

Hata Tanzania yapo na ni mengi tu. Watu huua watoto wao, wenza wao, ndugu zao, jamaa zao, n.k.

Sasa mtu anadiriki kusema makabila ya Kinyamwezi na Kisukuma hayana ukatili kiasi kama alichofanya huyo bwana.

Huo ni ujinga. Ni ujinga kwa sababu kama angekuwa anajua basi ni asingesema hivyo hata kidogo.

Huko Usukumani kila siku watu wanauana. Kurasa za mwanzo mwanzo kwenye hii mada nimebandika picha ya katoto kalikocharangwa mapanga na baba'ake mzazi huko Shinyanga.

Nina ndugu wa karibu aliyeuliwa kwa kuchinjwa na kichwa chake kikatupwa kwenye majaruba ya mpunga. Na mimi ni Msukuma 100% na huyo ndugu yangu marehemu naye ni Msukuma 100% na waliomuua ni Wasukuma 100%.

Sasa huyu mtu anayedai Wasukuma na Wanyamwezi hawana ukatili kiasi hicho sijui anatumia vigezo katika kupima ukatili!

Yaani watu wa humu kwa kupenda kurundika rundika kijumla jumla tu hawajambo kwa kweli. Utadhani wanaishi dunia ingine tofauti kabisa na tuishiyo wengine.
 
and he'll be eligible for parole after 31 yrs?!, that means he mighty be able to walk away as a free man!, after doing this?!

Kumbuka atakuwa na miaka 67 by then...hana mtoto wala mjukuu...
Labda azae uzeeni kama Machache...nani atamkubali sasa...?

Adhabu ya kifo no matter what mimi pia naipinga...mambo ya jino kwa jino siyo kabisa...ngoja aishi ili akili ikimrudia ajutie madhambi yake...
 
Duh Nimesoma huku natetemeka kwa kuogopa, nimuue mwanangu Namkunda? Mungu niepushie mbali hilo pepo. Hata kama ni pombe, bangi au hasira zisinifikishe huku.

Baba Namkunda mwombe Mungu akupe Mahusiano mazuri na Mama...
 
ukiachana na kufarakana na mke wake lazima kutakua kuna kitu kilikuakina muumiza sana mpaka kufikia hatua iyo
 
and he'll be eligible for parole after 31 yrs?!, that means he mighty be able to walk away as a free man!, after doing this?!

yeah..if he will be reformed by then...31 is a damn reality check
 
and he'll be eligible for parole after 31 yrs?!, that means he mighty be able to walk away as a free man!, after doing this?!
Thats little fair,I Sweden one Kenyan girl killed her two sons,she spend two years in psychiatric then just deported.
simple like that
 
yeah..if he will be reformed by then...31 is a damn reality check

I doubt he'll feel it, If you look at it on a different point of view, he's mentally deranged and that was a pay back for whatever the heck his ex partner did to him. I don't think he cares much!!!, I think ALL HE CARED ABOUT WAS TO DO HARM TO HIS EX by killing their children, and not that they're gone and their mother is heartbroken....that's his satisfication (a psychopath fantasy)
 
Baada ya kipindi kifupi akili zitamrudia na ndipo atakapoanza kuelewa ubaya wa kile alichokifanya. Ashukuru kwenye hilo jimbo hakuna adhabu ya kifo kwani muda huu angekuwa ameshautambua ubaya wa baba yake Ibilisi aliyemshawishi hata kuua.
 
I doubt he'll feel it, If you look at it on a different point of view, he's mentally deranged and that was a pay back for whatever the heck his ex partner did to him. I don't think he cares much!!!, I think ALL HE CARED ABOUT WAS TO DO HARM TO HIS EX by killing their children, and not that they're gone and their mother is heartbroken....that's his satisfication (a psychopath fantasy)

.....you have a point..I have been a fan a MSNBC Lockup (TV series) for years... a prison documentary series,some of the inmates have been in jail for years,yet remorseless.However some are reformed...few with second chances to ever step the free world again and the rest turning their lives reform other inmates.
<span class="st">
[h=1]Prison Documentary - San Antonio - Mind Blowing Documentaries - Prison Documentary[/h]
 
Last edited by a moderator:
So sadness there is a thin margin between man and a monster! kama alivyochangia ukatili ni nafsi haihusiani na rangi, dini au kabila kuna mama huko kawachabanga visu wanae saba nadhani ni australia tukijadili tukio nadhani itakuwa bora.
 
Yule kijana mtanzania Charles Mihayo,35 aishie Australia aliyekamatwa kwa tuhuma za Kuwauwa mabinti zake wawili,hatimaye amehukumiwa kifungo cha maisha nchini humo.Habari ililetwa hapa kwa mara ya kwanza mwezi April..
[h=3]Charles Mihayo charged over death of two girls in Watsonia, Victoria[/h] Started by ngoshwe, 21st April 2014 19:56

[h=1]Charles Mihayo jailed for life with non-parole of 31 years for killing his two young daughters [/h]


RIP GIRLS...
article-0-20B4238900000578-900_634x726.jpg


Fundisho kwa diaspora wengine wamezidi ulimbukeni wakati maisha ya kizungu hawayawezi.........!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom