Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Faiza ukoje lakini? Tulia kwenye mada moja basi, umeshaanzisha mada tatu ndani ya mada moja kuu, tumpongeze m'bongo mwenzetu hayo mengine utayanzishia thread zao pia. Unaonaje wazo langu?
huyu ngoja kwanza lazima nimlishe kiti moto huyu ndipo atakapao shka adabu yake. nina mpango wa kumwagiza Klein wangu akamuharibu binti yake nione kama atambanika ama atafanyeje.
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Mpe hongera basi.
Tatizo tunaweza fikiri tunamkomoa kumbe ndio tumemfikisha kiwanja chake, akila akimaliza akaomba aongezewe kidogo, ntampeleka pale TRA Mwenge kwa Nyuma pana kitimoto mishkaki, rost ndio zitamfaa huyu....
halafu kweli inawezekana ni mlaji mzuri wa kitimoto tena anajua kula hadi supu ya kwato migombani hapa survey. Utafikir jamvi hili mwislamu ni yy peke yake. ngoja kwanza nimtafutie rostii safiiiiii nimkaribishe mchana huu kwa ugali ama ndizi rosti.
Acha udini wewe chambafu kafrr.Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Hiyo sio hoja kwani amelelewa na Sister Jean Pruitt, na anafadhiliwa na Amy Canady mbona siwaoni akina .........kama kweli mnapenda maendeleo ya dogo
sikutaka akae kwa mama kamche manake pale wanga wata mwona nataka nikamfiche huyu huko katikati ya migomba.Yeap Migombani paka kificho kidogo, kwa Mama Kamche pako barabarani sana hata kubali, mlaji mzuri sana wa kitimoto na anajua mapishi yake yote anatupigia kelel tu hapa
CC: FaizaFoxy
hahahahhaaaaaaa aiseee umemuweza sana, alidhani watu wakibaki na kuchangia thread yake ni wajinga, sasa tumembadilishia mada, aje hapa tena na upuuzi wake, tena anagonga viroba huyu sio mchezo