Kwani ameukana uraia wa Tanzania? Halafu alikimbia Tanzania akiwa na umri wa miaka 18, na yeye amezaliwa mwaka 1948, hivyo kukimbia kwake ilikuwa ni 1966/1967. Huo sio wakati wa Ukoloni. Alifika Uingereza kama mkimbizi mwaka 1968.Ni miaka mingi sana aliikimbia tanzania wakati wa ukoloni,ila kwa sasa sijui kwa nn wanasema ni mtanzania wakati anaishi uko mambele mda mrefu sana.
Dual citizenship inaruhusiwa baada ya 18yrs tanzania?Kwani ameukana uraia wa Tanzania? Halafu alikimbia Tanzania akiwa na umri wa miaka 18, na yeye amezaliwa mwaka 1948, hivyo kukimbia kwake ilikuwa ni 1966/1967. Huo sio wakati wa Ukoloni. Alifika Uingereza kama mkimbizi mwaka 1968.
Kwani Oscar Kambona alipokimbia nchi na kwenda kuishi Uingereza ule uraia wake wa Tanzania ulikoma? Naye kama sijakosea (wakubwa zangu mtanirekebisha) alikimbia miaka hiyo hiyo ya 1960's.
Hujanielewa. Nilikuwa naeleza kuwa huyo Prof alikimbia nchi kipindi ambacho sio cha ukoloni. Tayari uhuru ulikuwa ushapatikana na muungano ushafanyika. Kusema sio Mtanzania, kwani ameukana uraia wake? Mtanzania ni nani kisheria?Dual citizenship inaruhusiwa baada ya 18yrs tanzania?
Citizenship ya wapi? Au ya wavamizi wa Tanganyika kwa Zanzibar ?Dual citizenship inaruhusiwa baada ya 18yrs tanzania?
Nilikuelewa mda sana mbona,sasa itaelewekaje ni mtanzania au nan kama ana urahia wa uko mambele.Hujanielewa. Nilikuwa naeleza kuwa huyo Prof alikimbia nchi kipindi ambacho sio cha ukoloni. Tayari uhuru ulikuwa ushapatikana na muungano ushafanyika. Kusema sio Mtanzania, kwani ameukana uraia wake? Mtanzania ni nani kisheria?
Namaanisha citizenship ya tanganyikaCitizenship ya wapi? Au ya wavamizi wa Tanganyika kwa Zanzibar ?
Mfano wa Kiingereza kisicho kigumu na rafiki kwa wasomaji upo ktk gazeti pendwa la USA TodayLatest World & National News & Headlines - USATODAY.com
The Nation's Newspaper provides you with up-to-date coverage of US and international news, weather, entertainment, finance, and more.eu.usatoday.com
Depository Collections - Garbrecht Law Library - University of Maine School of Law
United States Government Documents The Garbrecht Law Library was granted Federal Depository status in 1964 through the Federal Depository Library Program. The Law Library's depository collection is selective and focuses on United States legal materials. The collection includes, but is not...mainelaw.maine.edu