Mtanzania Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi

Ni miaka mingi sana aliikimbia tanzania wakati wa ukoloni,ila kwa sasa sijui kwa nn wanasema ni mtanzania wakati anaishi uko mambele mda mrefu sana.
 
Ni miaka mingi sana aliikimbia tanzania wakati wa ukoloni,ila kwa sasa sijui kwa nn wanasema ni mtanzania wakati anaishi uko mambele mda mrefu sana.
Kwani ameukana uraia wa Tanzania? Halafu alikimbia Tanzania akiwa na umri wa miaka 18, na yeye amezaliwa mwaka 1948, hivyo kukimbia kwake ilikuwa ni 1966/1967. Huo sio wakati wa Ukoloni. Alifika Uingereza kama mkimbizi mwaka 1968.

Kwani Oscar Kambona alipokimbia nchi na kwenda kuishi Uingereza ule uraia wake wa Tanzania ulikoma? Naye kama sijakosea (wakubwa zangu mtanirekebisha) alikimbia miaka hiyo hiyo ya 1960's.
 
Dual citizenship inaruhusiwa baada ya 18yrs tanzania?
 
Dual citizenship inaruhusiwa baada ya 18yrs tanzania?
Hujanielewa. Nilikuwa naeleza kuwa huyo Prof alikimbia nchi kipindi ambacho sio cha ukoloni. Tayari uhuru ulikuwa ushapatikana na muungano ushafanyika. Kusema sio Mtanzania, kwani ameukana uraia wake? Mtanzania ni nani kisheria?
 
Nilikuelewa mda sana mbona,sasa itaelewekaje ni mtanzania au nan kama ana urahia wa uko mambele.
 
10 Oct 2021
Ijue historia na mikasa iliyomkumba mshindi wa Nobel ya Fasihi Abdulrazak Gurnah-Uchambuzi wa Jussa

Wiki hii katika kipindi cha Tufunue Kitabu na Mohammed Ghassani akiwa na mchambuzi wa vitavu hivyo Ismail Jussa wanazungumzia kazi za uandishi wa vitabu za Abdularazak Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel katika masuala ya fasihi. Sheikh Gurnah ni mzaliwa wa Zanzibar.
Source : Zanzibar Kamili TV
 
16 October 2021

Kijiwe Mada Moto EP 05 TUZO YA ABDULRAZAK GURNAH YA NOBEL KTK FASIHI INATUFUNDISHA NINI TANZANIA

Karibu usikie watanzania Da Grace, Prof. Deo Tungaraza, Hassan Nganzo, Prof. Nicholas Boaz, DJ Luke Joe, Mubelwa Bandio, Prof. Joseph Mbele, Da Catherine, Jeff Msangi na Emil Muta.

Wakishiriki katika mjadala wa masuala kadhaa ikiwemo je kitabu cha Abdulrazak Gurnah vitajaa ktk maduka ya vitabu, mahoteli, maktaba, mawakala wa utalii nchini Tanzania na hata wageni pia watalii walifika Tanzania watakikuta kitabu kilichoshinda tuzo ya Noble ... utaifa/ asili haufutiki ...
Source : Kwanza Production

Mfano wa Kiingereza kisicho kigumu na rafiki kwa wasomaji upo ktk gazeti pendwa la USA Today

TANGANYIKA
Act No. 74 OF 1962 Governor-General 27TH NOVEMBER, 1962

The Libraries (Deposit of Books) Act 1962 requires printers in Tanzania mainland to deposit one copy of all books printed by them with the librarian of the University of Dar es Salaam and in 1963 the Minister for Education issued the Libraries (Deposit of Books) Order which extended the Act by requiring printers to deposit a further copy with the Director of the Tanganyika Library Service. In 1970, the Tanganyika Library produced "Printed in Tanzania in 1969," the first Tanzania National Bibliography. This National Bibliography is compiled yearly by the Tanganyika Library Service and is based on definitions adopted by Unesco as shown in Appendix I. Appendices II and III give a breakdown of the 1970 Tanzania National Bibliography. It is noted that 143 titles were in English, 73 in Kiswahili, and the rest in other languages. The Tanganyika Library Service has also published an annotated "Directory of Libraries in Mainland Tanzania." It is difficult to give overall accurate statistics on various types of libraries. However, some statistics relating to the Tanganyika Library Service and the library of the University of Dar es Salaam Source : http://worldcat.org/identities/nc-tanganyika library service tanzania/

In this Act, unless the context otherwise requires- interpretation "book" includes every part or division of a book, pamphlet, newspaper,
periodical, magazine, review, gazette, sheet of letterpress, sheet of music, map, plan, chart or table separately printed but does not include any second or subsequent edition of a book, unless such edition contains additions or alterations either in the letterpress or in the maps, prints or other illustrative materials belonging thereto,
or any book which will not be made available to the public at large;
"Minister'' means the Minister for the time being responsible for education; "printed" as applied to books, means produced by printing, lithography
or any other like process, and "printer" shall be construed accordingly.
3
.-(l) The printer of every book printed in Tanganyika shall,
within Delivery of one month after the day on which any such book is first delivered of
the press, and notwithstanding any agreement, if the book is
publishers between the printer and publisher thereof, deliver at his own one copy of the book to the Librarian of the Deposit Section of any Library of the University College, Dares Salaam, and one further copy to such person and at such place as the Minister may by order direct

22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom