Kwa Umoja Wetu Tumuombee Mwalimu Kidiga wa Kiraa Sekondari Ili Aweze Kuibuka Mshindi wa Tuzo ya Mwalimu Bora Duniani.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,772
Mwl.James Kidiga amefanikiwa kucjaguliwa kuwa miongoni mwa walimu 50 Dunia nzima wanaowania tuzo ya mwl.bora Duniani yenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.5.

Kila la heri bwana Kidiga kazi yako itakuwa rewarded na tunakuombea uibuke Mshindi Ili uzido kuwasaidia wenye uhitaji huko unakofanyia kazi.
---
1697135209040.png
James Kidiga David, a teacher at Kiara Secondary School in Musoma, Tanzania, has been shortlisted for the prestigious Varkey Foundation Global Teacher Prize 2023.

The prize, which is worth $1 million (Sh2.5 billion), is awarded to one exceptional teacher who has made an outstanding contribution to the profession.

Kidiga David was selected from over 7,000 nominations and applications from 130 countries around the world.

He is one of only 50 teachers to make the shortlist, and he is the first Tanzanian teacher to ever be nominated for the prize.

Kidiga David is a passionate educator who is committed to providing his students with a quality education. He is known for his innovative teaching methods and his dedication to helping his students reach their full potential.

In addition to his teaching duties, Kidiga David is also the founder of Pamoja Hub, a nonprofit organization that provides educational and social support to children and families in Musoma.

Through Pamoja Hub, Kidiga David has launched campaigns to provide sanitary pads, help young people acquire school uniforms, and stop early marriage and Female Genital Mutilation (FGM) in the community.
 
Huenda mada hii isipate wachangiaji wengi Kwa sababu sio ya kutukana Samia/Serikali na pia Kwa hulka za wivu za Watzn.
Tanzania hii ambao wanafunzi
1. Hawana madawati?
2. Hawana walimu?
3. Hakuna vitabu vya kutosha?
4. Kuna upungufu wa matundu ya choo?
5. Hakuna maabara?
6. Walimu wanalipwa mshahara kidogo?
7. Hakuna posho kwa walimu?
8. Walimu mnawachapa viboko na wengine mnawaweka jela kwa kuchelewa kufika shuleni?
Mwalimu bora? Mwalimu hata kununua chakula mlimani city hawezi.
 
Tanzania hii ambao wanafunzi
1. Hawana madawati?
2. Hawana walimu?
3. Hakuna vitabu vya kutosha?
4. Kuna upungufu wa matundu ya choo?
5. Hakuna maabara?
6. Walimu wanalipwa mshahara kidogo?
7. Hakuna posho kwa walimu?
8. Walimu mnawachapa viboko na wengine mnawaweka jela kwa kuchelewa kufika shuleni?
Mwalimu bora?
Toa upuuzi wako hapa
 
Tanzania hii ambao wanafunzi
1. Hawana madawati?
2. Hawana walimu?
3. Hakuna vitabu vya kutosha?
4. Kuna upungufu wa matundu ya choo?
5. Hakuna maabara?
6. Walimu wanalipwa mshahara kidogo?
7. Hakuna posho kwa walimu?
8. Walimu mnawachapa viboko na wengine mnawaweka jela kwa kuchelewa kufika shuleni?
Mwalimu bora? Mwalimu hata kununua chakula mlimani city hawezi.
Chadema bhana, nyie ni malalamiko fc
 
Toa upuuzi wako hapa
Wewe unayeamini miujiza kuliko kufanya kazi una akili sana.
Afrika inakuwa masikini kwa jamii ya watu kama wewe, wanaotegemea miujiza.
Shule haina madawati wala walimu hawana mishahara mizuri halafu unategemea kutoa mwalimu bora duniani? 😀😁😀😁😁😁😀😀
 
Wewe unayeamini miujiza kuliko kufanya kazi una akili sana.
Afrika inakuwa masikini kwa jamii ya watu kama wewe, wanaotegemea miujiza.
Shule haina madawati wala walimu hawana mishahara mizuri halafu unategemea kutoa mwalimu bora duniani? 😀😁😀😁😁😁😀😀
Huyo ameingiaje 50 Bora out of 7,000? Acha kuwa kima
 
Chadema bhana, nyie ni malalamiko fc
Ndiyo shida ya nchi yetu. Viongozi wanawaza vyama tu muda wote kuliko maendeleo.
Wapo radhi chama fulani kishinde kuliko maendeleo ya wananchi.
Ona sasa, wanawaza vyama tu halafu tunategemea tuwe bora duniani.
Niliyoandika hayapo?
 
Back
Top Bottom