Mtanisamehe kwa hili

Mtanisamehe kwa hili

Japo huwa situmii usafiri huo, ila bwana mdogo hujitbui kabisa, naweza kusema wewe ni limbuleni. Hata unavyolingia si ajabu bado unakula lwa shkamo.
Sija linga wala kuonesha ulimbukeni nimeelezea ukweli mchungu uliopo kwenye jamii
 
Nimeelewa perspective hiyo sio nyie mnaokuja na maelezo yasio na mbele wala nyuma.

Na kingine isiwe ndo kisingizio cha application kwa kila mtu kuna watu wajinga wamejikatia tamaa na hawana majukumu mengi
Chagua vya kuelewa ni wewe tu, sisi tunapiga nyundo za kichwa mpaka bichwa lako likae sawa , karibu bia bwashee.
 
Enyi wamatumbi mnao taka kuwahi magari ya daladala. Naombeni mnisamehe kwa bandiko hili ila naomba mjitafalari kidogo.

Hivi huwa mnajisikiaje ndani ya nyoyo zenu? Yaani unakuta mtu wa miaka kuanzia 35 na kuendelea eti na yeye anakaa kupambana na vijana wa miaka 20 kwenye daladala.

Wth is wrong with you guys? Hivi ni kwamba mmekata tamaa ya maisha Liwalo na liwe tu? Mimi sema kweli juzi gari la shem lilikua bovu so tu kasema instead of ubering gari ngoja nikapande gari za daladala just for fun maana ni muda mrefu sana.

So katika kufikia pale kituoni kulikuwa na abiria wengi sana, Ila cha kushangaza ni kuwa kulikuwa na watu wazima kabisa.. Yaani nikawa nawacheki wale watu nasikitika tu moyoni najiuliza hata 6M mtu anashindwa kweli kudunduiza akipata? Dah aisee alafu ukiangalia hata mindset za hawa watu, bado kabisa they are man child. Bado hawajakuwa kifikra, basi unaishia kusononeka tu.

Jamani hiki kitu so kizuri hasa kwa watu wazima. Imagine baba wa familia huna usafiri wako, inaitwa mzee wa Kaya. Hapo kuna watoto nyuma yako.. How does that feel?

Hivi wewe kweli una hisia? Kweli kabisa uko sawa kuona wenzako wanaishi maisha na wewe una survive? Kweli kabisa huna uchungu ndani yako wa kujifanya upambane not just for you, ila kwa ajili ya watu walio nyuma yako?

Atleast hata uwe example nzuri kwa wanao kuangalia? Ndugu zangu fanyeni kama kujihurumia. Angalieni mustakabli wa maisha yenu. Angalieni kuwa tayari umri umesha sogea na regrets za mtu mzima ni mbaya zaid ya kijana aliye kuja kubadilika na kutoboa.

Haya, kuna watu huwa wana nongwa. Wewe mwenye nongwa endelea kuona uko sawa mpaka siku utakapo kuja kidharauliwa na vitoto vya elfu mbili ndo utajua na maanisha nini.

Asubuhi njema. Na eny wamatumbi wahini kazin mkaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.

Nimemaliza.

"Hivi wewe jamaa una akili timamu kweli au unaishi kwa shemeji yako mpaka akili zako zimebaki kuwa za kitoto? Unakuja hapa kuwadharau wanaume wanaopambana asubuhi kwenye daladala kutafuta riziki ya familia zao, huku ukisahau kuwa wewe mwenyewe juzi umepanda hiyo daladala kwa sababu tu gari la shemeji yako liliharibika! Yaani unaringia dudu na jasho la mume wa dada yako kiasi cha kuona watu wanaovuja jasho lao wenyewe hawana akili? Huu ni ushamba na ulimbukeni wa kiwango cha lami.

Bandiko lako linaonyesha wazi kuwa wewe ndiye mfano halisi wa man-child (baba zima zuzu) unayewasingizia wenzako. Mtu mzima aliyekomaa kifikra hawezi kuwa na shobo ya kwenda kupanda usafiri wa umma 'just for fun' ili akawacheke wapambanaji. Hiyo ni tabia ya chawa na watu tegemezi waliopata nafasi ya kukaa kwenye kiti cha gari la kuazima wakajihisi wamefika mbinguni. Umekariri maisha kwamba kufanikiwa ni kununua kimeo cha milioni 6 ili kuwaringishia watu barabarani? Huko ni kudumaa kiakili.

Watu wazima unaowaona hapo kituoni wana vipaumbele vya maisha; wanasomesha watoto shule za maana, wanajenga nyumba, na wanatunza wazazi wao kwa pesa ya jasho la halali. Hawana muda wa kuishi maisha ya maigizo ya mtandaoni kama wewe. Mwanaume anayegombania daladala saa kumi na moja asubuhi ana heshima na utu mara mia moja kuliko tegemezi mnyanyasa makalio anayeishi kwa shemeji yake lakini ana dharau kwa wanaume wenzake. Shuka kwenye mgongo na tege la shemeji yako, pambana na maisha yako binafsi kwanza ndipo uje uongee na watu wazima wanaojielewa. Umekalia umbeya na dharau wakati mfuko wako umetoboka, nyoo!

Jiangalie sana yasije yakukuta yaliyomkuta Mwijaku aliyekuwa anatupigia kelele kama wewe mpaka alipoachika na mkewe, ambaye ndiye alikuwa mmiliki halali wa ghorofa, akabaki mweupe peee mpaka kupewa gari na Silent Ocean. Tupo tunakusubiri hapa jamvini pale Shemeji yako atakapo muacha dada yako na wewe uanze kuayaona maisha ya kweli!"
 
Hii ya mwijaku ipoje mkuu.?
 
Hii ya mwijaku ipoje mkuu.?
Mwijaku alikuwa anajifanya bilionea anayeishi kwenye ghorofa kumbe analelewa na mke wake. Mke alipomfukuza na kuvunja ndoa miezi michache iliyopita, Mwijaku alifilisika na kubaki hana kitu hadi watu wa karibu wakaanza kumuanika.
Gari analotembelea sasa hivi kapewa zawadi ya hisani na kampuni ya Silent Ocean tarehe 6 Julai 2026, tena alizimia kwa mshtuko wakati anapewa kwa sababu alikuwa hana uwezo wa kununua gari lake mwenyewe baada ya kufukuzwa kwa mke. Nimetumia mfano wake kumfahamisha huyu tegemezi wa hapa kuwa maisha ya kuazima yana mwisho mbaya sana
 
Dah hili litakuwa povu la mwaka hapa jf.
Nimetoka na vitu ila mkuu
 
maana ya huu uzi ilikuwa kuamsha wamatumbi wazembe mkuu na sio kulingishia mtu maisha
 
Mkuu de gunner, kukiita kioo ulichoshikiliwa 'povu' ni mbinu ya kizamani sana ya kukwepa ukweli, ila uzuri ni kwamba dongo limeingia hadi kwenye mifupa na umekiri mwenyewe kuondoka na vitu. Ukiona mwanaume mzima anajifunika kwenye blanketi la kuita hoja za mwenzake povu huku akicheka kinafiki, jua donda limeguswa na dawa imeingia vizuri sana. Ukweli huwa una tabia moja mkuu; huwa unauma sana ukiwekwa wazi barabarani.
Pointi ulizobeba zikasaidie kujenga akili yako na kukukuza kifikra ili uwaheshimu wanaume wanaovuja jasho lao halali kwenye daladala. Maisha ya maigizo ya mtandaoni, kutegemea watu, na kudharau wapambanaji hayajengi utu hata kidogo. Shuka kwenye mgongo wa shemeji yako sasa ukajue bei ya mkate sokoni. Kila la heri katika kujitafutia kwako binafsi.
 
Enyi wamatumbi mnao taka kuwahi magari ya daladala. Naombeni mnisamehe kwa bandiko hili ila naomba mjitafalari kidogo.

Hivi huwa mnajisikiaje ndani ya nyoyo zenu? Yaani unakuta mtu wa miaka kuanzia 35 na kuendelea eti na yeye anakaa kupambana na vijana wa miaka 20 kwenye daladala.

Wth is wrong with you guys? Hivi ni kwamba mmekata tamaa ya maisha Liwalo na liwe tu? Mimi sema kweli juzi gari la shem lilikua bovu so tu kasema instead of ubering gari ngoja nikapande gari za daladala just for fun maana ni muda mrefu sana.

So katika kufikia pale kituoni kulikuwa na abiria wengi sana, Ila cha kushangaza ni kuwa kulikuwa na watu wazima kabisa.. Yaani nikawa nawacheki wale watu nasikitika tu moyoni najiuliza hata 6M mtu anashindwa kweli kudunduiza akipata? Dah aisee alafu ukiangalia hata mindset za hawa watu, bado kabisa they are man child. Bado hawajakuwa kifikra, basi unaishia kusononeka tu.

Jamani hiki kitu so kizuri hasa kwa watu wazima. Imagine baba wa familia huna usafiri wako, inaitwa mzee wa Kaya. Hapo kuna watoto nyuma yako.. How does that feel?

Hivi wewe kweli una hisia? Kweli kabisa uko sawa kuona wenzako wanaishi maisha na wewe una survive? Kweli kabisa huna uchungu ndani yako wa kujifanya upambane not just for you, ila kwa ajili ya watu walio nyuma yako?

Atleast hata uwe example nzuri kwa wanao kuangalia? Ndugu zangu fanyeni kama kujihurumia. Angalieni mustakabli wa maisha yenu. Angalieni kuwa tayari umri umesha sogea na regrets za mtu mzima ni mbaya zaid ya kijana aliye kuja kubadilika na kutoboa.

Haya, kuna watu huwa wana nongwa. Wewe mwenye nongwa endelea kuona uko sawa mpaka siku utakapo kuja kidharauliwa na vitoto vya elfu mbili ndo utajua na maanisha nini.

Asubuhi njema. Na eny wamatumbi wahini kazin mkaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.

Nimemaliza.
Mimi mbona huwa naona tofauti! Yaani kijana kabisa unapanda daladala wakati vijana wenzio wananyonga motokari? Daladala mlipaswa kuwaachia wazee!
 
Mkuu de gunner, kukiita kioo ulichoshikiliwa 'povu' ni mbinu ya kizamani sana ya kukwepa ukweli, ila uzuri ni kwamba dongo limeingia hadi kwenye mifupa na umekiri mwenyewe kuondoka na vitu. Ukiona mwanaume mzima anajifunika kwenye blanketi la kuita hoja za mwenzake povu huku akicheka kinafiki, jua donda limeguswa na dawa imeingia vizuri sana. Ukweli huwa una tabia moja mkuu; huwa unauma sana ukiwekwa wazi barabarani.
Pointi ulizobeba zikasaidie kujenga akili yako na kukukuza kifikra ili uwaheshimu wanaume wanaovuja jasho lao halali kwenye daladala. Maisha ya maigizo ya mtandaoni, kutegemea watu, na kudharau wapambanaji hayajengi utu hata kidogo. Shuka kwenye mgongo wa shemeji yako sasa ukajue bei ya mkate sokoni. Kila la heri katika kujitafutia kwako binafsi.
Mkuu unapenda kuchukulia mambo seriously sana humu. Actually yes, ila Kuna muda watu wanajisahau wanaishi cycles zilezile.
 
maana ya huu uzi ilikuwa kuamsha wamatumbi wazembe mkuu na sio kulingishia mtu maisha

😂😂 Mkuu de gunner, sasa hivi unajikanyaga na kudai ulikuwa unaamsha wamatumbi wazembe? Mbona kwenye uzi wako hukusema hivyo, badala yake ulikuwa unaringa na gari la shemeji yako huku ukiita watu wazima wanaopambana kwenye daladala 'man-child'? Huo ulikuwa ni uzi wa matusi na dharau za kiwango cha lami, na ndio maana ukajibiwa kwa lugha uliyostahili.
Hakuna mtu anayesaidiwa kwa kutukanwa utu wake. Ulichofanya ni kuwatukana watu kwa ujumla, ukisahau kuwa wewe mwenyewe mfuko wako umetoboka na unaishi maisha ya maigizo. Tumia lugha ya staha kufikisha ujumbe na siyo kukejeli wakati hayo maisha wewe mwenyewe huna. Shuka kwenye mgongo wa mume wa dada yako ukapambane na uhalisia. Kila la heri katika kujitafutia kwako binafsi.
 
Mkuu unataka kunikaanga sio?
 
Mleta mada iambie ccm regime iboreshe maisha ya watu. Mfano kama Japan huko au china watu wanatumia usafiri wa umma wa treni za umeme kwenda makazini Hususani viwandani kwenda kutengeneza magari kwa ajili ya kuja kuyauza huku... Sio ajabu kutumia usafiri wa umma...

Afu mleta mada kairudie kuisoma concept ya Maslow hierarchy of needs vizuri 🫵🫵🫵😄
 
Ni ajabu in the sense that usafiri huo hauko viable
 
Back
Top Bottom