Dotto Magari: Chawa au Mshawishi Hatari?

Dotto Magari: Chawa au Mshawishi Hatari?

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,887
Reaction score
21,558
Hivi doto magari anajielewa kweli?

Yaani unakuwa chawa na kuomba hela kisa kupamba watu na mafanikio yao kweli?

Sasa Maybach sio yako, unasifia wanaume wenzako na bado, unatambia wanaume wengine kwa kusikia wanaume...

Na wamatumbi tu bwana..

Na msanii wake jamaa linamdhalirisha mbele ya media.. Imagine dogo Rema anakuja kuwa independent na maisha yake si atakuja kujutia tu?

Watu kama hawa ndo wanawaaminisha vijana kuna shortcut kwenye maisha.

Aisee ifike mahala kama taifa tuwe na limits kwa influencer wa namna hii ndo maana kuna vizazi vilivyo shindikana.

Ila Tukiachana matani jamaa anakula maisha kizembe sana huyu, vijana igeni mpasuke misamba..

Wasomi hii 👋
 
Huyu jamaa ni Faaala sana anatembelea upepo wa SirMia ngoja kuna siku ataishi maisha mabaya sana huyu Mpuuzi.

Alishawahi kuwatukana wanachuo hawana akili ipo siku hao wanachuo wakija kuwa na nafasi au ushawishi kwenye hii nchi, huyu boya ataiona nchi ni jehanam.
 
Huyu jamaa ni Faaala sana anatembelea upepo wa SirMia ngoja kuna siku ataishi maisha mabaya sana huyu Mpuuzi.

Alishawahi kuwatukana wanachuo hawana akili ipo siku hao wanachuo wakija kuwa na nafasi au ushawishi kwenye hii nchi, huyu boya ataionq nchi ni jehanam
Na maboss wanamchekea tu maana bingo zao zinatembea
 
Daah hii kali sasa. Mwache I mwamba ale vya bure. Mungu kamjaalia talanta ya kuongea
Mkuu hata kama ni kuongea😀mwanaume Hadi upelekwe out Dubai na mwanaume mwenzako wewe utakubali nije hapo nikwambie nataka kukutoa out nikupeleke Dubai utakubali😀😀😀unaanzaje hata kumuaga mke wako au demu wako kuwa unatoka out na mwanaume mwenzako kwenda Dubai😀😀😀hii hapana itakuwa ni chakula ya mkubwa kutoka mbogamboga
 
Mkuu hata kama ni kuongea😀mwanaume Hadi upelekwe out Dubai na mwanaume mwenzako wewe utakubali nije hapo nikwambie nataka kukutoa out nikupeleke Dubai utakubali😀😀😀unaanzaje hata kumuaga mke wako au demu wako kuwa unatokea out na mwanaume mwenzako kwenda Dubai😀😀😀hii hapana
Jamaa si anafanya kazi ya influencer..! Yeye ni brand tayari hapo
 
Wewe kwa akili yako unaweza sema yule ni mshawishi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Alianza vizuri akaja kulewa sifa akahamia kwenye UCHAWA

Yule ni CHAWA maarufu
 
Wewe kwa akili yako unaweza sema yule ni mshawishi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Alianza vizuri akaja kulewa sifa akahamia kwenye UCHAWA

Yule ni CHAWA maarufu
Kwani chawa sio mshawishi?

Unafikiri hakuna vijana wanao ondoka na kitu kutoka kwake?
 
Neno influencer wanaliharibu sana Hawa vichwa maji Yani sasa hivi machawa ndiyo mainfluensa shenziiii zao😀😀😀ila uzuri mbinguni Kila mtu atasema ukweli alikuwa anaendesha maisha yake duniani kwa kazi gani
 
Hatari sana
Huenda wameona ndo vijana wanacho penda,
. Imagine leo uanzishe content za kuongelea technology.. Hupati views kabisa
 
Hatari sana
Huenda wameona ndo vijana wanacho penda,
. Imagine leo uanzishe content za kuongelea technology.. Hupati views kabisa
Hii yote imeletwa na Gen Z wanapenda mambo ya kijinga kuliko vitu vya maana na wamekuwa wepesi sana kutolewa kwenye Reli kama walivyotolewa kirahisi kuhusu suala lile la bilioni 50 za mikopa kwa vijana sijui hata wameishia nalo wapi😀😀😀
 
Back
Top Bottom