min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,834
- 165,655
Natumia kiswahili hapa kama haukijui pia nitakufundisha.Kama mada liisoma na comments za awali ulijibu means unajua unajidanganya mwenyewe
Natumia kiswahili hapa kama haukijui pia nitakufundisha.Kama mada liisoma na comments za awali ulijibu means unajua unajidanganya mwenyewe
Namweleza ana shida mahali anabishaTrump ni kichaa fulani hivi, ila kwa hili la kusema kwamba Afrika kuna "shithole countries" hakukosea kabisa, imagine wananchi wa shitholes country wanatambiana kua na gari wakati mamtoni gari ni kitendea kazi tu. Public transport zipo reliable mabasi, train, trams etc. yaani unaweza panda bus ukajikuta uko wewe tu na dereva, na kua au kutokua na gari si ishu ni wewe tu.
Ona huyu mturutumbi kaanzisha uzi kabisa kuwananga wasio na magari, huu ni umaskini.
HIvi nikuulize wewe uliye andika hapa utawezaje kusaidia jamii ya watu kujikwamua kwa kutoa nafasi za kazi?Wape njia , binafsi naweza sema kama wewe mwisho wa siku nawaunganisha vijana na kazi , ajira na michongo mingine mingi , ebu shauri tufanye nini ili tusifanye mara kwa kurudia na utupe mifano hai
Endelea kuwa Keyboard warrior sio mbaya. Ukimaliza kula Ugali wa shikamoo kutoka kwa shemeji uje uendelee kushinda humu😂😂😂
Wacha kujifariji katika complacency ya ufukara ewe mmatumbi
Mkuu wewe ndo Hujaielewa namaanisha nini kwenye huu uzi!Trump ni kichaa fulani hivi, ila kwa hili la kusema kwamba Afrika kuna "shithole countries" hakukosea kabisa, imagine wananchi wa shitholes country wanatambiana kua na gari wakati mamtoni gari ni kitendea kazi tu. Public transport zipo reliable mabasi, train, trams etc. yaani unaweza panda bus ukajikuta uko wewe tu na dereva, na kua au kutokua na gari si ishu ni wewe tu.
Ona huyu mturutumbi kaanzisha uzi kabisa kuwananga wasio na magari, huu ni umaskini.
😀😀😀😀 Kuna siku niliona kwenye tv messi na suarez wamechukua tex kwenda kwenye mitoko yao. Nikavuta picha kwa ukwasi wa hswa jamaa wangekua wabongo eti waache mabugati yao ndani wapande texTrump ni kichaa fulani hivi, ila kwa hili la kusema kwamba Afrika kuna "shithole countries" hakukosea kabisa, imagine wananchi wa shitholes country wanatambiana kua na gari wakati mamtoni gari ni kitendea kazi tu. Public transport zipo reliable mabasi, train, trams etc. yaani unaweza panda bus ukajikuta uko wewe tu na dereva, na kua au kutokua na gari si ishu ni wewe tu.
Ona huyu mturutumbi kaanzisha uzi kabisa kuwananga wasio na magari, huu ni umaskini.
Sio kila mtu yupo kwa shemeji au anatumia gari ya shemeji, kama ulivyodai kwenye mada yako, haya hapa nilipo sijala chochote na njaa , umeme umekata , maji bili imeisha , ebu fanya hiyo awakening of mind unayotaka kuifanyaHIvi nikuulize wewe uliye andika hapa utawezaje kusaidia jamii ya watu kujikwamua kwa kutoa nafasi za kazi?
Hiyo ni delusion. Huwezi kusaidia namna hiyo utasaidia wachache sana ambao wako kwenye field husika.
People need awakening of the mind. Wajitambue na wajue wanahitaji nini katika haya maisha
Hakuna kitu kizuri kama mwanaume kujitegemea kiuchumi. Muda uanokuja humu kujisifia na magari ya shemeji yako ni utoto na ujinga. Huu muda ungetumia kujijenga itafika kipindi atakuchoka na kukufukuza.Kaendelee na loop hizo hizo haulazimishwi ewe mmatumbi
Elewa kilicho kisema na ukae humo.Sio kila mtu yupo kwa shemeji au anatumia gari ya shemeji, haya hapa nilipo sijala chochote na nnjaa , umeme umekata , maji bili imeisha , ebu fanya hiyo awakening of mind unayotaka kuifanya
Mada ni yetu kwa sasa , ukiona kuna shida mahali wafahamishe mods wapo kwa ajili ya hiloNi nyie ambao mnajaribu kiswitch mada iwe kwenye favor yenu ndo ambao mna shida sio mimi
Toa njia acha porojo za vijiwe vya kahawaElewa kilicho kisema na ukae humo.
Humo ndo ufunguo ulimo
Huku kwengine ni kujifariji tu
Sio tatizo naweza kusepa piaSasa hapo umejibu nini?
Aweanesi ndio inasolve haya ?Sio kila mtu yupo kwa shemeji au anatumia gari ya shemeji, kama ulivyodai kwenye mada yako, haya hapa nilipo sijala chochote na njaa , umeme umekata , maji bili imeisha , ebu fanya hiyo awakening of mind unayotaka kuifanya
Umetuangusha sana wanaume kusifia vitu vya shemeji yakoKwanini usione hoja na sio maisha niyaishio mimi. Hakika mmatumbi habebeki