Mtanisamehe kwa hili

Mtanisamehe kwa hili

Pengine hapa tulipo tumefika baada ya kujitahidi kwa kadri ya uwezo wetu.

Hatuna Elimu kubwa, wala ujuzi mkubwa , hatuna bahat ya kuzaliwa familia bora , tumezaliwa Kijijin huko kwenye shida kibao na ziko hadi leo na pia hatujafanikiwa kupata connection hadi leo.,

Kaz tunafanya kwa Bidii ila malipo hayakidhi kusave kununua hata kiwanja. Achilia mbali kujenga.

Mzigo wa Pango la nyumba , kulea familia na kusaidia wazaz na ndugu zetu wasiojiweza unatuelemea.

Hatunywi bia, sio malaya na wala hatufanyi starehe.

Bali Maisha ndivyo Yalivyo, na hatujakata tamaa . Tunaendelea kupambana.
Ndio naelewa ila your past should never be a reason for your failure
 
Hii inawahusu watu wa DSM. Sisi wa mikoani usafiri wetu ni pikipiki ambazo % kubwa watu tunamudu kununua. Bajaji zipo njingi na zinatafuta wateja.
Dsm kwa kweli ndio mkoa wenye maskini wengi.
Hakika usione watu wanaishi hili jiji,
Wengine wanasindikizia tu wengine kuishi huku wao waki survive kama wanyama
 
Pengine hapa tulipo tumefika baada ya kujitahidi kwa kadri ya uwezo wetu.

Hatuna Elimu kubwa, wala ujuzi mkubwa , hatuna bahat ya kuzaliwa familia bora , tumezaliwa Kijijin huko kwenye shida kibao na ziko hadi leo na pia hatujafanikiwa kupata connection hadi leo.,

Kaz tunafanya kwa Bidii ila malipo hayakidhi kusave kununua hata kiwanja. Achilia mbali kujenga.

Mzigo wa Pango la nyumba , kulea familia na kusaidia wazaz na ndugu zetu wasiojiweza unatuelemea.

Hatunywi bia, sio malaya na wala hatufanyi starehe.

Bali Maisha ndivyo Yalivyo, na hatujakata tamaa . Tunaendelea kupambana.
Nilipokuwa early 20's nilikuwa nawashangaa watu ambao hawajafanikiwa. Yani inawezekanaje ufike 30's na huna ramani au hata nyumba ya mbavu za mbwa.

Ahhh life limenihambo sanaaa. Nikaelewa tu sometimes maisha ni mchakato wa kila siku so, ukimuona mtu anajilisha na kuwalisha wengine. Anasimama wanasoma na kukaa vizuri..

Hata ukimkuta sehemu muache
 
Kijana haijui dunia bado😅
 
Toka hapo kwa shemeji yako ukatafute gari lako, uone kazi hata tu ile ya kutafuta tu chakula itakushinda. Yaani upo kwa shemeji yako unaanza kuzodoa watu,yaani shemeji yako akifika upo na dada yako sebureni anaambiwa nimeimisi tangulia site kweli dada yako anatangulia chumbani akaliwe wewe unabaki unang'ata ng'ata kucha. Pumbavu sana
Wacha kutoa povu kama chura kiziwi anza kuchukua hatua kubadili mausha yako ewe mmatumbi. Kulia lia hai saidii na ilihali unajua namaanisha nini. Nyie ndo mliojikatia tamaa mnajifanya wagumu kumbe life ilisha wa humble toka zamani
 
Enyi wamatumbi mnao taka kuwahi magari ya daladala. Naombeni mnisamehe kwa bandiko hili ila naomba mjitafalari kidogo.

Hivi huwa mnajisikiaje ndani ya nyoyo zenu? Yaani unakuta mtu wa miaka kuanzia 35 na kuendelea eti na yeye anakaa kupambana na vijana wa miaka 20 kwenye daladala.

Wth is wrong with you guys? Hivi ni kwamba mmekata tamaa ya maisha Liwalo na liwe tu? Mimi sema kweli juzi gari la shem lilikua bovu so tu kasema instead of ubering gari ngoja nikapande gari za daladala just for fun maana ni muda mrefu sana.

So katika kufikia pale kituoni kulikuwa na abiria wengi sana, Ila cha kushangaza ni kuwa kulikuwa na watu wazima kabisa.. Yaani nikawa nawacheki wale watu nasikitika tu moyoni najiuliza hata 6M mtu anashindwa kweli kudunduiza akipata? Dah aisee alafu ukiangalia hata mindset za hawa watu, bado kabisa they are man child. Bado hawajakuwa kifikra, basi unaishia kusononeka tu.

Jamani hiki kitu so kizuri hasa kwa watu wazima. Imagine baba wa familia huna usafiri wako, inaitwa mzee wa Kaya. Hapo kuna watoto nyuma yako.. How does that feel?

Hivi wewe kweli una hisia? Kweli kabisa uko sawa kuona wenzako wanaishi maisha na wewe una survive? Kweli kabisa huna uchungu ndani yako wa kujifanya upambane not just for you, ila kwa ajili ya watu walio nyuma yako?

Atleast hata uwe example nzuri kwa wanao kuangalia? Ndugu zangu fanyeni kama kujihurumia. Angalieni mustakabli wa maisha yenu. Angalieni kuwa tayari umri umesha sogea na regrets za mtu mzima ni mbaya zaid ya kijana aliye kuja kubadilika na kutoboa.

Haya, kuna watu huwa wana nongwa. Wewe mwenye nongwa endelea kuona uko sawa mpaka siku utakapo kuja kidharauliwa na vitoto vya elfu mbili ndo utajua na maanisha nini.

Asubuhi njema. Na eny wamatumbi wahini kazin mkaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.

Nimemaliza.
Haya Bwana mdogo,Kuna uyaone!
 
Umesema gari la shem likawa limeharibika?!@¿ kwa iyo unaishi kwa dadako au ndo sijaelewa mimi mkuu. Acha tu nijifanye sijaelewa huu maana mwisho ntajikuta nimekwambia wewe nh mke mdogo.
 
Back
Top Bottom