Upo kwa shemeji, unapiga mshono upi sasa😅Because mm sio manipulator huwa nikipiga napiga kwenye mshono kabisa
Una mada nzuri sana , saikolojia yako kuna pahala ina shida , sio rahisi uelewa hili .I don't give a damn. Wingi wa watu haimaanishi wako sawa or legit
Nilikuambia toka mwanzo nitakukosoa , nafikiri unakumbuka vizuri , unajua kwanini?Tukiacha janja za kutafuta closure kwenye personal life wote wanajua maumivu yako wapi
Tumia kiswahili tu nakielewa vizuri kuliko hata kingerezaI don't give a shit, because I know myself better than a cringy dumbass nigga who thinks they know me
Wala sijisumbui nipo kawaida tu , kama ninavyochangia kila siku humuUnanikosoa au unajisumbua tu? 😂 You know quite sure kwenye ukweli sitii huruma
Tumia kiswahiliLanguage is a man made pointer
Toa solution , kuendelea kulaumu sijui watu wanafanya kitu kile kile mara unatumia gari ya shemeji yako mara hili na lile , mwisho unalaumu wamatumbi bila solution, unafanya umatumbi tu.Sasa point yako iko wapi hapo kama sio kudeal na mtu instead of hoja zao?
Umejuaje najua kingereza mpaka utumie kingereza? Unaendeleza umatumbi tu badoSio lazima, lugha ni lugha
Hauwezi kutoa ushauri wa nini mtu afanye ili afanikiwe, and you know that... These people need push, kila mtu anajua nini afanye achukue the next step kufikia mafanikio.Toa solution , kuendelea kulaumu sijui watu wanafanya kitu kile kile mara unatumia gari ya shemeji yako mara hili na lile , mwisho unalaumu wamatumbi bila solution, unafanya umatumbi tu.
Wape njia , binafsi naweza sema kama wewe mwisho wa siku nawaunganisha vijana na kazi , ajira na michongo mingine mingi , ebu shauri tufanye nini ili tusifanye mambo kwa kurudia na utupe mifano haiHawawezikutoa ushauri wa nini mtu afanye ili afanikiwe, and you know that... These people need push, kila mtu anajua nini afanye achukue the next step kufikia mafanikio.
Ni kuwa wamekuwa brainwashed haiwezekani tu. Na hapo ndo wanatakiwa wajue kuwa wamefungwa kifikra. Na ndo jambo muhimu