de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,901
- 21,610
Katika harakati zangu nimekuja kugundua wamatumbi wengi ndo ambao tunawazia ajira tuu..
Hivi kwa tathmini zenu ndogo hapa Tz tuna jamii za waarabu na wahindi wengi na wanafamilia huku kwetu for generations, ila swali dogo Umeshawahi kuwaona wanakimbilia ajira?
Si ndo hawa wanamiliki biashara kubwa, na kuhold generational wealth? Wamatumbi ni lini tutaamka? Ni lini tutaacha kuwa watumwa wa kifikra?
Mbona mnapenda kujifariji enyi wamatumbi?
Jana nilikuwa Beach maeneo fulani DSM katika kutulia zangu ufukweni wakaja madogo wa primary walikuwa waarabu wale, ni wabongo maana walinisalimia kiswahili... Ila cha kushangaza ni kuwa wakianza kubonga pale, kando yangu huku wakijiandaa kuingia majini, it was a business talk.
Imagine dogo wa primary tayari alisha jua mzee wake anatoa wapi bidhaa, anajua inapita wapi, anajua business partners wa mzee wake... (imagine na bado kinda kabisa) nilikaa pale naperuzi jf like nothing is happening kumbe sikio langu liko kwao. Na waliongea kwa sauti ya chini sana as if they already know it is a secret.
Sasa ile incident ilinifanya nifikirie mengi sana, kwanza kuhusu how hao waarabu wenye watoto... Ilinifanya nianze kufikiria how these children are already business oriented wakiwa wadogo.. How wanaingia katika entrepreneurship before they know it... Ila pia nikajua how hawa waarabu ni wa siri sana katika mambo yao.
Ila pia nikaangalia namna wamatumbi tuko so complacent kuwa na mentality za kimaskini... Tunakalia majungu, kuongelea matajiri, hatujibidishi, hatuna discipline ya hela... Kweli kabisa nika connect dot ya kuwa hii ni kwasababu hatuaminiki.... Tuna ego za kijinga na wivu baina yetu wenyewe...
Hawa jamaa wanasponsor mpira, wanatumia branding zao kukua biashara zao na sisi tunaishia kushabikia tuu, tunaishia kuwa wapenzi watizamaji.. Ukweli ni kuwa sio ya kuwa wanafanya kitu kibaya ni kuwa wametuzidi kete, hatuna uwezo wa kifikra,
tumeiga wazungu na mifumo yao ya kusoma kuajiriwa, na huku wao wana population control wanazaliana kwa mpango na wanatumia raslimali zetu in exchange of misaada. Na sio kuongeza ajira.
Hakika tunasafari ndefu sana.