Mtangazaji Radio One na ITV Farhia Middle: Huwa namsoma sana Balozi wetu GENTAMYCINE kule Mtandaoni JamiiForums

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,742
109,177
"Ni Balozi wetu na tunamshukuru kwa hilo. Kuna muda huwa ananikosoa kwa Kunipiga Madongo kwa Kuwatetea Kwangu Wanawake Wenzangu, ila kuna muda huwa napenda Hoja zake. Ninamfuatilia JamiiForums na ni Mtandao ambao kila mara naupitia" Farhia Middle Mtangazaji Nguli, Maarufu na Mrembo Radio One na ITV Asubuhi hii katika Kipindi Kizuri na ambacho GENTAMYCINE sikosi Kukisikiliza kila Jumapili Saa 1 na Nusu hadi Saa 4 Kamili kiitwacho Mazungumzo ya Familia.

Akhsante sana Dada Farhia Middle.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Bwana GENTAMYCINE hebu tuambie mada ya leo katika kipindi cha mazungumzo ya familia ilihusu nini? wengine tulitoka asubuhi na mapema hatukupata muda wa kusikiliza redio. Kwa hiyo we ndio balozi wao, kwani unawakilisha nini? Kwa hiyo member mwenye ile ID ndiye huyo mtangazaji Farhia Middle?
 
Ngoja amuulize jirani yake wa chumba cha pili, akikujibu atakuwa amerogwa.
 
"Ni Balozi wetu na tunamshukuru kwa hilo. Kuna muda huwa ananikosoa kwa Kunipiga Madongo kwa Kuwatetea Kwangu Wanawake Wenzangu, ila kuna muda huwa napenda Hoja zake."

Kwahiyo zile za kuwatetea wanawake wenzake huwa hapendi?
 
FB_IMG_1690439042067.jpg
 
"Ni Balozi wetu na tunamshukuru kwa hilo. Kuna muda huwa ananikosoa kwa Kunipiga Madongo kwa Kuwatetea Kwangu Wanawake Wenzangu, ila kuna muda huwa napenda Hoja zake. Ninamfuatilia JamiiForums na ni Mtandao ambao kila mara naupitia" Farhia Middle Mtangazaji Nguli, Maarufu na Mrembo Radio One na ITV Asubuhi hii katika Kipindi Kizuri na ambacho GENTAMYCINE sikosi Kukisikiliza kila Jumapili Saa 1 na Nusu hadi Saa 4 Kamili kiitwacho Mazungumzo ya Familia.

Akhsante sana Dada Farhia Middle.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Big up bro, akiona pacha wako Bujibuji atafurahi sana
 
"Ni Balozi wetu na tunamshukuru kwa hilo. Kuna muda huwa ananikosoa kwa Kunipiga Madongo kwa Kuwatetea Kwangu Wanawake Wenzangu, ila kuna muda huwa napenda Hoja zake. Ninamfuatilia JamiiForums na ni Mtandao ambao kila mara naupitia" Farhia Middle Mtangazaji Nguli, Maarufu na Mrembo Radio One na ITV Asubuhi hii katika Kipindi Kizuri na ambacho GENTAMYCINE sikosi Kukisikiliza kila Jumapili Saa 1 na Nusu hadi Saa 4 Kamili kiitwacho Mazungumzo ya Familia.

Akhsante sana Dada Farhia Middle.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Hongera Kwa kutajwa redioni,
 
Back
Top Bottom