Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,393
- 2,359
Waukae mimi ni digital content creator hivyo hii ni kama sehemu ya kazi yangu.Kujadiliwa wasafi ndio kuwa brand, hebu acha mahaba yasiyo na faida kwako
Watangazaji wenye brand kubwa kama Diva the bawse, Sam Mahela, B dozen, Adam Mchomvu, Millard Ayo, Lil Ommy, Dida Michubuo, Gardner, Mariam wa Migomba, Kitenge n.k huwezi kukosa nyuzi zao humu au post zao kokote unajua kwanini?
Na tuko hapa kumjadili Jonijoo kwa sababu katoka Wasafi (hii pekee ni brand iliyombeba hata Mtiga) alivyokuwa times hakuwa mkubwa ndio maana hatukumjadili na hakujadiliwa kokote.