Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,207
- 3,059
6.DozenKuna watangazaji Tanzania hii hawahitaji ukubwa wa channel kufuatiliwa, popote wakiwepo wanahama na kijiji chao, wafuatao ni baadhi ya watangazaji hao:
1. Salama Jabir
2. Captain G Habash
3. Maulidi Kitenge
4. Jonijo Babako
5. Millard Ayo
Ukiwa ndio boss wa hawa watangazaji, wachukulie kama maboss wenzako, sio wafanyakazi wako.
7.Sam Misago kwa mtazamo wangu!