Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Mimi sio under 23, mkuu hakuna mtu anaweza zidi umaarufu taasisi au kampuni refer David Beckham, enzi za Man U, lakini hadi leo Man U ipo, sasa Radio haiwezi kufa kisa mtangazaji ameondoka mfano dhahiri ni EAST Africa radio watu wengi sana wamepita EA radio na walikua na majina lakini bado kituo kinasonga mbele tu
Me naongelea issue ya media wew unazn mawingu Fm wawatoe watangazaji wa xxl (wawabadilishe or wahame kabisa) lazima mtikisiko utakuwa mkubwa na inaweza kupotea kabisa
Kwa issue ya EAST Africa & TV ndio wamepita wengi ila imefifia sio kama zamani mfano nani alikuwa anacha kutazam kipindi cha sikonga, zekomedi ya kina joti na masanja na uswazi lakini leo walivondoka presenter wenye majina watazamaji na sikilizaji wamepungua so jamaa wamesepa na vijiji vyao
 
Alipaswa kuwalea na kujenga "watu wake" wataoifanya Wasafi kama radio yao. Hao akina Lilommy wameshaji brand na huwezi kuweka vitu vipya na tofauti kwao.

Msingi mkuu wa Clouds si misharaha mizuri au mazingira mazuri sana ya kazi, bali kuishi kama familia na hiyo ilijengwa kabla radio haijaanza.

Kusaga aliunga na Ruge kwasababu ya maono yanayofanana kabla hata ya uwepo wa radio. Lakini pia waliunda team yao mwaka mzima kabla ya kwenda hewani rasmi! Ule mwaka hakuwa wa kupika vipindi tu bali kujenga familia yenye maono ya pamoja.

Clouds walipanda hiyo mbegu kabla kituo hakijaanza na hiyo mbegu wanaridhishana kwa kila generation. Ndio maana hawayumbi.

Wale madogo wa block89 walikosa watu makini kuwasimamia lakini hawakuwa wabovu tena team nzima. Walishaanza kubadili upepo hadi kidizaini vijana wa Clouds walianza ku copy kidogo. Walihitaji muda na usimamizi makini.

Lilommy ni mbunifu, kichwa n.k lakini si uwekezaji makini kwa Wasafi fm labda kwenye TV.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naunga Mkono hoja
 
Kusema ukweli kati ya ujinga ulishawai fanywa mbele ya Diamond wa wazi kabisa ni huu wa kuua kipindi cha block 88.9i vijana hawa ndio walikuwa msingi mkubwa wa wasafi!

Diamond amekurupuka kukiua hicho kipindi ....

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hii nimeiona America kwenye kila kitu.
Hautengenezi kipindi eti ili kionekane ni idea mpya no ile ni investment inapaswa kulipa.

Hadhira ya media za Tz kubwa ni vijana uwawekee bakurutu kama Radio one they won't listen, uwawekee singeli wasukuma, wagogo, na wanyakyusa they won't waste their precious time.

CMG wanachokifanya ndicho Tz kinapendwa kwa asilimia kubwa, kuna Radio inaitwa Miami Radio hii vipindi vyake ni sawa na kusikiliza Radio yoyote nyingine ila wanazidiana majonjo tu.

Content haziigwi ziko hapo miaka na miaka kipindi na zinafundishwa darasani.
Kwenye Ubunifu hapa you got a point

Umenisikitisha Sana.
 
I just think Diamond alikosea kuwavuta hio 'cream' ya watangazaji wazuri kutoka stesheni nyingine..anachotakiwa ni kupata mtu kama 'creativity manager' anayeweza ku transform hivyo vipaji into something useful....kuchukua tu vipaji na kuwaweka pamoja kama mayai bila ya kujua utafanya nini hivyo vipaji vikuletee faida..ni wastage of money and time.
 
Ile ni identity yake.

Identity yake ndo kufanya kipindi cha aina moja throughout, kwenye redio tatu tofauti?

As a digital content creator by now you should know creativity siyo kubadilisha maneno Mara Sijui bango blah blah ni kuleta a new thing on the table na watu wakafurahi. Refer to Salama Jabir. From PB, Mkasi to Ngaz kwa Ngaz yes Vyote ni Entertainment lakini amecheza miguu tofauti.

Inawezekana hukunielewa mwanzo but that's what I meant. Akienda Efm alaf akakuta kipindi kama alichokuwa anafanya Wasafi kipo, alafu akakiendeleza without changing Anything kuvutia watu in the name of identity huo ni utopolo.

Alafu nyie mnaojiita content creators wabongo mna kazi gani?
 
I just think Diamond alikosea kuwavuta hio 'cream' ya watangazaji wazuri kutoka stesheni nyingine..anachotakiwa ni kupata mtu kama 'creativity manager' anayeweza ku transform hivyo vipaji into something useful....kuchukua tu vipaji na kuwaweka pamoja kama mayai bila ya kujua utafanya nini hivyo vipaji vikuletee faida..ni wastage of money and time.
Umeongea point nzuri Sana.
 
Me naongelea issue ya media wew unazn mawingu Fm wawatoe watangazaji wa xxl (wawabadilishe or wahame kabisa) lazima mtikisiko utakuwa mkubwa na inaweza kupotea kabisa
Kwa issue ya EAST Africa & TV ndio wamepita wengi ila imefifia sio kama zamani mfano nani alikuwa anacha kutazam kipindi cha sikonga, zekomedi ya kina joti na masanja na uswazi lakini leo walivondoka presenter wenye majina watazamaji na sikilizaji wamepungua so jamaa wamesepa na vijiji vyao
Mkuu mimi nimetoa mfano tu, labda nikukumbushe Planet Bongo alikuwaga Salama akajaga Dulla lakini maisha yanaendelea pia hakuna sehemu tunaweza pata uhakika kwamba watazamaji au wasikilizaji wamepungua kwa kiasi fulani mimi naamini hata hapo XXL wakiondoka watu Clouds itayumba lakini itasimama sababu sio kwamba hao watu ni irreplaceable hakuna mtu anazidi umaarufu kushinda taasisi mkuu
 
Media ni kama timu za mpira. Unaweza kununua wachezaji wenye majina makubwa kwenye first 11 then baada ya msimu mmoja wakaanza kuchomoka mmoja mmoja. Hapo tatizo ni kufanya usajili wa sifa wakati kuhudumia kwa kutegemea mapato ya team haiwezekani.
 
Kwani maulidi kitenge na Jonijo yupi analipwa mshahara mkubwa?
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom