Opaque
JF-Expert Member
- Oct 24, 2008
- 1,359
- 719
Katika hali isiyo ya kawaida, mtangazaji Christina Mbezi alifanya kila awezalo kukwepa kutamka jina la SSerunkuma, mshambuliaji wa Gor Mahia raia wa Uganda aliyetua nchini kufanya mazungumzo na klabu ya Simba. Mtangazaji huyo alikuwa anakwepa kutamka neno hilo wakati akisoma yaliyoandikwa magazetini katika kipindi cha Tuongee Magazetini. Mfano, alipotakiwa kusema 'SSerunkuma atua Dar', yeye alisema 'atua Dar'. Aliendelea kulikwepa neno hilo hata wakati akiisoma habari kwa undani na pia hata alipokutana na jina hilo katika magazeti mengine.
Hii itakuwa ni changamoto kwa waswahili iwapo mshambuliaji huyo atafanikiwa kusajiliwa na Simba!
Hii itakuwa ni changamoto kwa waswahili iwapo mshambuliaji huyo atafanikiwa kusajiliwa na Simba!