The choosen one1
Senior Member
- Dec 13, 2023
- 100
- 423
๐๐๐ umepigaje mahi?Ukishajua kuwa mwenzio ni mzito sidhani kama kuna tatizo. Tatizo ni pale mtu anapokuwa active kuchat na watu, anaweka status kila siku ila wewe anakublue tick
Mahi huku kwa ground mambo ni magumu ๐๐๐๐๐ umepigaje mahi?
Mbombo ngafu. ๐๐Mahi huku kwa ground mambo ni magumu ๐๐
Hata Mimi Nataka Kujua Kuhusu Kublue Tick๐๐๐ umepigaje mahi?
Ni kwamba mtu anaona ujumbe. Afu hajibu anakausha kimya, na yuko online.Hata Mimi Nataka Kujua Kuhusu Kublue Tick
Status nyengine ni screenshot za watu waliocomment kwenye status yake iliyopitaUkishajua kuwa mwenzio ni mzito sidhani kama kuna tatizo. Tatizo ni pale mtu anapokuwa active kuchat na watu, anaweka status kila siku ila wewe anakublue tick