Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na usiku pack

Hivyo vifurushi vya mabachelor! Kwa tuliooa hatuvifaidi hata kidogo. Walete vifurushi bomba vya mchana na wapunguze gharama zao. Mtandao wao kweli uko vizuri ila bei ya vifurushi vyao ni ghali sana.
 
Kumbe mlio oa usiku mnakua busy sana
 
Naona jamaa wame update packages zao

Tsh 1500 unapata 18GB kwa siku mbili(usiku tu)

Tsh 500 unapata 1.2GB Kwa usiku mmoja tu.

# ofa hii ni kuanzia saa tano usiku.#

Sijatest speed nasubiria saa tano ifike then ntaleta feedback.

hiko cha 1500 ni siku moja na sio mbili km ulivyosema.
 
Hivyo vifurushi vya mabachelor! Kwa tuliooa hatuvifaidi hata kidogo. Walete vifurushi bomba vya mchana na wapunguze gharama zao. Mtandao wao kweli uko vizuri ila bei ya vifurushi vyao ni ghali sana.

hahahaha mkuu mweleze wife mbona ataelewa tuu
 
Hivyo vifurushi viko vingi sana tatizo speed wanabana unakuta hata gb 2 hufikishi, vipi hao halotel speed ikoje, lakini bado airtel baba lao mia sita gb 10 ni sheeda

tatizo la airtel speed ndogo,ila halotel wako vizur
 
Halotel mara 3G ikate dakika 5, mara speed ishuke, yaani nna torrent kibao ambazo nilitegemea jamaa watanimalizia na kifurushi chao lakini holla kabisa
Halotel ni Worthless kabisa.
 
300*7*60*60= hapa roughly maximum unaweza download gb 7 tu,

So huu ni uhuni kupewa gb 18 wakati mathematically huwezi kuzimaliza.
 
Jamani ukweli Halotel kiboko,kazi zangu nyingi nafanyia porini,kila nikienda porini wiki mbili home wananisahau kwa mawasiliano huwa sipatikani hd nirejee,na kwenye whatsap ndio kabisaaa,sasa naenda porini full network haikati ukiangalia internet ndio usiseme maana haishuki H+ ht dakika moja,hongereni sana sana sana halotel,mkiendelea hivi tutahama mitandao yote ya tz.
 
Awawezi izo ni mbio za sakafuni tu na mwanzo wa bwebwe nyingiii ila ukwel awaeezi na verysoon network yao itaanza kusumbua
 
Back
Top Bottom