Halotel ni mtandao wa wizi

Sam mirror

JF-Expert Member
Sep 29, 2018
1,462
2,219
Habari wakuu,

Nawapa tu taarifa kama una laini ya halotel usijalibu kutumia Halo pesa maana utaliwa hela zako

Kisa kinaanzia APA mnamo j pili saa tatu usiku luku ikakata nikajalibu kununua umeme wa kiasi xxxx ilikuwa saa tatu na dakika 36 baada ya mda hakuna token yoyote ile nimekaa hakuna msg yoyote nikaona ninunue tena saa nne wakanitumia token mda huo huo msg ya Halo pesa kuingia wamekata pesa mara mbili

Ukiwapigia bra bra nyingi wanataka meter number namba yako baada ya dakika tano utapata umeme hola no umeme siku ya nne leo.

Mpaka kuweka pesa naogopa wasije wakafyeka zote.
Huu mtandao ni wakiuni.

Tuchukue Tahadhali.
 
Nina kisa kama chako lakini sio halotel. Nilinunua umeme na nikakatwa fedha kwenye account yangu, lakini sms ya kuonyesha unit za umeme sikupata.

Nilipopiga customer care wakasema hiyo fedha imeshatoka kwao na shida ni TANESCO.

Nilipopiga TANESCO, wakakiri wamepokea hela lakini system yao ipo down. Alinitajia namba za token na nikaweka umeme.

Check nao kama fedha imetoka kwao ili udeal na TANESCO.
 
nipe namba ya tanesco mkuu
 
Habari wakuu,

Nawapa tu taarifa kama una laini ya halotel usijalibu kutumia Halo pesa maana utaliwa hela zako

Kisa kinaanzia APA mnamo j pili saa tatu usiku luku ikakata nikajalibu kununua umeme wa kiasi xxxx ilikuwa saa tatu na dakika 36 baada ya mda hakuna token yoyote ile nimekaa hakuna msg yoyote nikaona ninunue tena saa nne wakanitumia token mda huo huo msg ya Halo pesa kuingia wamekata pesa mara mbili

Ukiwapigia bra bra nyingi wanataka meter number namba yako baada ya dakika tano utapata umeme hola no umeme siku ya nne leo.

Mpaka kuweka pesa naogopa wasije wakafyeka zote.
Huu mtandao ni wakiuni.

Tuchukue Tahadhali.

Mzee wizi haupo halotel sema una dukuduku ueleweshwe Halotel ni kampuni ya simu kama kampuni nyingine kuna sheria zimetolewa na TRCA Juu ya uendeshaji wa huduma nchini moja wapo ni kua TCRA wametoa muongozo kua kampuni za simu ni lazima zisimame kama Agent au kiunganishi kati ya wananchi na Serikali.

Kampuni za simu zina system zilizotolewa na serikali kama system kutoka Tanesco, namba kutoka usalama kama vile Polisi, NIDA, DAWASCO,RITA,TRA,NHIF nk.

Lakini pia kampuni binafsi zinaomba kupewa huduma kutoka kampuni za simu mfano Azam, dstv.

Sasa kampuni za simu zipo kama kiunganishi kumsaidia mteja kupata huduma aitakayo
unatoa pesa katika account yako unalipia huduma kwenda katika account kuu ya serikali hivyo tokeni kutokupatikana ni tatizo la mfumo wa serikali na si kampuni ya simu. Ukilipia pesa kwenda Luku unalipa kwenye acc ya serikali kama umelipia mara mbili ili ni kosa lako na pesa ikiingia acc ya serikali huwa haitoki wala kurudishwa.

Usipopata token piga simu kampuni usika wana system wanakuangalizia wanakutumia kwenye simu yako ikishindikana jua ni mfumo wa tanesco hivyo utapewa msaada either kuunganishwa na Tanesco au kuaubiri kwa muda wa masaa 24-72 utapokea token zako ikiwa kinyume na ivyo utapiga tena simu huduma kwa wateja
 
Back
Top Bottom