Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na usiku pack

Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na usiku pack

Naona jamaa wame update packages zao

Tsh 1500 unapata 18GB kwa siku mbili(usiku tu)

Tsh 500 unapata 1.2GB Kwa usiku mmoja tu.

# ofa hii ni kuanzia saa tano usiku.#

Sijatest speed nasubiria saa tano ifike then ntaleta feedback.

kwenye speed ya 3g halotel anachuana na vidacom yaani mwendo mchibuyu hadi vikumburu kwa bibi nakula net
 
Hivi kuna mtandao bongo unaotoa unlimited internet kama zile za mbele,yaan unlimited kweli sio ya kisanii?
 
nunua simu ya 4g ukitafuta vizuri unazipata hata chini ya laki 1. utapata modem nzuri yenye kioo na inayoingia apps.

Simu gani yenye 4g unaweza pata chini ya 100, na zinapatikana wapi?
Ebu funguka vyema.
 
Hivi kuna mtandao bongo unaotoa unlimited internet kama zile za mbele,yaan unlimited kweli sio ya kisanii?

mobile data hata mbele hakuna unlimited ya kweli wasipokulimit speed watakulimit data.

hapa kwetu zantel alianzisha ila ilikuwa ni laki 3 kwa mwezi. baadae wakaacha

unlimited zinakuwa ni broadband ambapo huku kwetu ni za tabu. sijui makampuni yanaogopa nini kuwekeza kwenye hii biashara.
 
Simu gani yenye 4g unaweza pata chini ya 100, na zinapatikana wapi?
Ebu funguka vyema.

mi nimenunua lumia 820 kama wiki 2 zilizopita kwa 120,000 ina 4g nimeinunua kuitumia kama router.

kuna jamaa anauza huawei y550 used ina crack kidogo kwenye kioo kwa 100,000 (hujamshusha hapa) hii simu nayo ina 4g band 800 (tigo na smile). unaweza kuta crack yenyewe ni front glass tu.

cheki hapa
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/864116-wauza-smartphone-tukutane-hapa-58.html

simu yoyote yenye snapdragon 210 au 410 au s4 ina 4g. hivyo ni wewe mwenyewe kuwa makini na hizi deals.
 
seems wameshusha nao, kifurushi cha usiku sasa hivi ni siku 1 tu na sio mbili, na nahisi kama wanapunguza speed ukijiunga hiki kifurushi na disconection za kutosha tu.

kuna yoyote ambaye speed yake ya mchana inafanana na akijiunga hiki kifurushi?
 
Nimejiunga na night pack lkn kasi yao naona kama ya Tigo tu
 
seems wameshusha nao, kifurushi cha usiku sasa hivi ni siku 1 tu na sio mbili, na nahisi kama wanapunguza speed ukijiunga hiki kifurushi na disconection za kutosha tu.

kuna yoyote ambaye speed yake ya mchana inafanana na akijiunga hiki kifurushi?

Ni kweli chief, sasa hivi ni kwa usiku mmoja tu
 
Naona jamaa wame update packages zao

Tsh 1500 unapata 18GB kwa siku mbili(usiku tu)

Tsh 500 unapata 1.2GB Kwa usiku mmoja tu.

# ofa hii ni kuanzia saa tano usiku.#

Sijatest speed nasubiria saa tano ifike then ntaleta feedback.

Hii imekaa poa. Pornhub itanikoma
 
Jamaa wana bana speed ile ile...
Mwanzo nilijipiga cha 1500 18gb sikumbili lkn nilitumia 4gb tu zilizo baki nilinyoosha mikono.
Nikajiunga cha 500 1.2gb duuuh hata sisemi bora hivi bya bando za kawaida.
 
seems wameshusha nao, kifurushi cha usiku sasa hivi ni siku 1 tu na sio mbili, na nahisi kama wanapunguza speed ukijiunga hiki kifurushi na disconection za kutosha tu.

kuna yoyote ambaye speed yake ya mchana inafanana na akijiunga hiki kifurushi?
Halotel wana speed sana asubuhi hadi jioni ila ikifika saa 2 usiku speed inakuwa ovyo pia inadisconnect sana.
Hilo nimeligundua kabla ya hii night offer,Sijawahi jiunga hiyo offer coz hali nilikuwa naiona.
 
Wamehamia na kwa wanachuo sasa.

attachment.php
 
Hii mitandao ya simu watatufanya tusilale usiku sasa..
 
Back
Top Bottom