Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na usiku pack

Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na usiku pack

Tigo imekuwa janga la kitaifa...kila ikifika saa moja uck inakuwa E nataka nihame maana mtandao umekuwa wa kingese saana...nimekuwa sipo free na cm yangi
 
Mimi niko connected 24/7 kwa modem kwenye PC, ambayo huwa naigeuza WiFi router ili nitumie kwenye simu pia.

Sio downloader mkubwa though mwezi uliopita nimetumbua kama 21 GB hivi.

Halotel wako poa sana mchana. Ukipiga speedtest.net (thanks Chief-Mkwawa kwa hii knowledge) unaweza pata 6-9Mbps with 40ms ping.

Ila usiku download speed inashuka sana from my observation. Sana yani I can feel it, na nikitest last time ilikuwa around 2Mbps na ping iliongezeka to around 50ms.

Ninachopendea Halotel ni reliability. I don't mind slow speeds but I want a reliable connection. Sijawahi kuona EDGE tangu nimeanza kuitumia, naweza nikawa connected for even 72 hours straight yaani sijawahi kuwa disconnected na server (tiGo walininyanyasa sana hapa) na sijawahi kuchomeka modem nikashindwa kuconnect eti kwasababu ya mtandao au sijui remote server not responding. Halotel is simply reliable.

Huwa natumia bundle ya 7GB kwa 10,000 kwa month (ina minutes pia but I don't use them). Kitu kama wiki mzigo unakata, naweka mwingine.

This time nilikosa vocha ya 10,000 ikabidi ninunue za buku buku kama 5 hivi, nikaenda kucheck out more bundles nikakutana na special for internet, 500Tsh 500MB a week. Cheaper ila ndio inabidi kuongeza ongeza.
 
Me bado cjapata configurations zao, msaada please
Ingia kwenye setting ya simu nenda kwenye more nenda kwenye mobile network nenda kwenye access point ingia kwenye line ya halotel bonyeza add new name andika Halotel, Apn andika Internet Apn type andika au weka tik kwenye default, net, au supl
Kisha maliza kwa ku save.
 
Hivyo vifurushi viko vingi sana tatizo speed wanabana unakuta hata gb 2 hufikishi, vipi hao halotel speed ikoje, lakini bado airtel baba lao mia sita gb 10 ni sheeda
Vifurushi vya airtel gb 10 kwa mia sita unajiungaje mkuu?
 
halotel usiku pack ishakatwa kutoka GB 18 hadi GB 10 kweli kumbe ilikua nguvu ya soda
 
Update: siku ya tatu leo napakuwa video na kuangalia video za youtube bila bundle via Halotel kuanzia saa sita usiku hadi 12 asubuhi.
Vipi hii ipo official au kimya kimya.
 
Update: siku ya tatu leo napakuwa video na kuangalia video za youtube bila bundle via Halotel kuanzia saa sita usiku hadi 12 asubuhi.
Vipi hii ipo official au kimya kimya.
official.
walinitumia sms
 
Back
Top Bottom