Naona jamaa wame update packages zao
Tsh 1500 unapata 18GB kwa siku mbili(usiku tu)
Tsh 500 unapata 1.2GB Kwa usiku mmoja tu.
# ofa hii ni kuanzia saa tano usiku.#
Sijatest speed nasubiria saa tano ifike then ntaleta feedback.
Wameisha, nitadownload mpaka pc ijae
Naona jamaa wame update packages zao
Tsh 1500 unapata 18GB kwa siku mbili(usiku tu)
Tsh 500 unapata 1.2GB Kwa usiku mmoja tu.
# ofa hii ni kuanzia saa tano usiku.#
Sijatest speed nasubiria saa tano ifike then ntaleta feedback.
airtel shida ni covarage yao mkuu.
kuhusu speed ndo tuna subir saa tano ifike tuone
Hivyo vifurushi viko vingi sana tatizo speed wanabana unakuta hata gb 2 hufikishi, vipi hao halotel speed ikoje, lakini bado airtel baba lao mia sita gb 10 ni sheeda
Daaah nasikitika huu uzi ndio nauona asubuhi....nilikuwa nanunua kile kifurushi cha MB800 Kwa TZS999 ila waliniuzi kitu kimoja tu...speed! Wanalimit speed ukifikia matumizi flani hivi...kama hii package ya usiku hawalimit speed basi itakuwa poaw...sana
Nilikuwa natumia kuangalizia mechi kupitia Pc..MB 800 unatumia kwenye simu au nini mkuu ?
jana nilitumia kwa modem ya huawei wireless spidi yao kwa modem inasoma 6 mbs na kwa IDM nikidownload ni 1 mbs
mkuu Srebrina hiyo modem ya wireless uliinunua wapi maana na mimi naihitaji sana hipo je ni universal?