RASHID ATHUMAN MSIRI
Member
- Apr 24, 2024
- 9
- 7
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
Hiyo ni autodiscoHivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii.
Mimi nimeamua kuweka alarm ya kuamka usiku wa manane.Fumo Lina sever za hovyo kabisa.
Hivi sisi Tanzania twaweza Nini ? Hadi hii imetushinda kuomba kazi TU usubiri usiku wa manane kama unaomba KAZI ya kuwanga duuh
Saa 9 usiku hii lakini wp???Mimi nimeamua kuweka alarm ya kuamka usiku wa manane.
Saa 10:30 lakini bado mfumo mbovu, inaonekana kunachangamoto upande wa uploading documents lakini website inafunguka vizuri, kuna yeyote kafanikiwa ku upload?Saa 9 usiku hii lakini wp???
Same here…saa 10:30 lakini bado mfumo mbovu, inaonekana kunachangamoto upande wa uploading documents lakini website inafunguka vizuri, kuna yeyote kafanikiwa ku upload?
hakuna cha kufanya tatizo lipo upande wao server zao, hivyo ni kusubiri kukuche maybe watarekebisa, ila kusema kamba mtandao unazumbua upande wetu sisi client si kweli, kwa maana kwa huu mtandao wangu speed yake inatosha kabisa kufanya iyo kazi ata kama itachukua lisaa na kama kuna mtu ataniambia hii speed haitoshi basi itoshe kusema kwamba watu wengi hasa vijini watashindwa kuappy kabisa.Same here…
Ku-upload naambiwa request timeout!!!
Nifanyeje?
Hapana mfumo hausumbui inaonekana kuna namna unaandika sasa system zao zinashindwa ku-detect maombi yako.
Kuthibitisha angalia heading ya uzi wako utapata jibu,yaani haupo siriaz kabisa.
Acha mzaha mkuu.. Hakuna ajira kweli?Hakuna kazi huko. Vijana mnapoteza muda na kucheza mziki wa CCM. Ni msimu wa uchaguzi.
Ok
😂😂 Me mwenyewe nashangaa 🙆🏻♂️Hivi unaanzaje kuwa polisi
Jamani mie naomba kupata ufafanuzi juu ya hizi ajira za polisi, unaajiriwa direct kwenye sector kulingana na fani yako? Au unaajiriwa kwenye vituo vya kazi vya polisi kawaida?😂😂 Me mwenyewe nashangaa 🙆🏻♂️
Afu Izi KAZI za Connection kama huna Connection bora usipoteze muda B'se wenzenu teyari wanamajina yao hi kuweka mfumo wa kutuma maombi ni geresha t😂
Kama huna Connection basi uwe na MUNGU wa Kweli na wa pekee Kama ni mpango wake kupata nafasi lazima utapata t 😁
Ila kama huna MUNGU, na Connection huna jitasmini Sana kabda ya kutuma hayo maombi
Umefanikiwa kuomba kwanza kabla ujajibiwa swaliJamani mie naomba kupata ufafanuzi juu ya hizi ajira za polisi, unaajiriwa direct kwenye sector kulingana na fani yako? Au unaajiriwa kwenye vituo vya kazi vya polisi kawaida?