Mtandao wa GSM Foundation, RC Makonda na kinachoendelea...

Mtandao wa GSM Foundation, RC Makonda na kinachoendelea...

Mlikua wapi kusema uovu wake toka zamani, hata huyo Wema kama alijua Makonda ana mahusiano ya kimapenzi na Masogange alngoja nini kisema mpaka adakwe na msokoto ndio aseme sasa hata kama kuna ukwel nani ataamini
Katika clip alizo sikika Jana Wema alisema walienda kusachi wakakuta hakuna kitu,kama kuna ukweli je walikwenda tena ndiyo wakakuta huo msokoto? Na kama ni hivyo unafikiri watanzania walio wengi wataamini kweli msokoto huo haukuwa wa kubambikiwa baada ya kumsikia akilalamika kupitia mtandao?ili kumkomoa wakati wenzake wakiachiliwa? Hebu tusaidie zaidi kuelewa huu ya hili
 
nchi ina maajabu sana hii..yule msukuma aliyekuwa swahiba mkubwa wa lowassa kisha akamgeuka na kumtukana kuwa anajinyea..siwezi kumsikiliza mpuuzi wa aina hiyo hata akiniambia kesho nitauawa!ni mtumwa tu.ni msakatonge mmoja tu..haaminiki..ni yeye alisema bangi ihalalishwe!mpuuzi sana..si ndio humuhumu kuna uzi tuliujadili kuwa amepata utajiri kwa wizi na dhulma na biashara haramu?leo ana nini cha kuongea?tuache kuwa na akili za kuku..joseph kasheku msukuma si wa kumsikiliza..yawezekana makonda ana makosa mengi na maovu mengi..lkn hii vita anayopigana sasa ni vita ya haki.msituhamishie goli.
 
The cheapest place in the world to buy a gram of heroin on the street is Tanzania where you only have to pay $1.50. Even in Afghanistan, the heart of the Golden Triangle, you have to $2.40 on the street for a gram of what most likely would be the purest heroin in the world.
 
Mimi nadhani kuna haja mtu uwe msafi kwanza ndo uanze kuwataja wachafu. Mwalimu Nyerere alijitahidi kuepuka ufisadi hata kutuhumiwa nao tu ndo maana aliweza kukaripia ufisadi bila kupepesa macho.

Hofu yangu ni kwamba baada ya wadau mbalimbali kuanza kufuatilia sakata zima la mihadarati kwa ukaribu, mwanzilishi atasusia opareshini hii na kuibuka na nyingine kama ilivyo kawaida yake.

Jamaa akiwa mbishi na kuendeleza huu mchakato, basi tujiandae kusikia mengi zaidi kwani atajianika mwenyewe. Ni sawa na kuukata mti huku umeukalia. Muda ni hakimu wa kweli.
 
Tanzania kuna viwanda vya heroin ...inakuwaje Pakistan bei iwe kubwa kuliko hapa..tusidanganyane...wenye viwanda vya madawa wachunguzwe
 
Wazungu wanasema what goes around comes around.....................Kama nimepatia,kama nimekosea nisahihishwe.Chuki na visasi vimeanzishwa na Baba,kama Baba anapalilia Chuki usitegemee watoto wataepuka tabia ya Baba.
The strong is never strong enough to be always the leader if force is not converted into justice.
 
Mimi ni mmoja kati ya watu wanaoamini,labda kwa umri wake na uzoefu wake,Jiji la Dsm limekuwa kubwa sana kwa kijana wetu Makonda.Anapendà kuacha legacy fulani,lkn basi juhudi zake zinashindikana kwasbb kuna mizizi fulani ilishasimikwa.

Lakini pia mi pia namuunga Makonda kwa hatua yake hii dhidi ya madawa.Hawa kina TID ni "bangusilo" tu,nadhani ndio gari imewashwa!!Hii Collabo ya Ngosha na huyu dogo sio ya kuibeza sana.Mmoja anatumwa na mwenzke kusafisha njia kwanza.

Namuunga mkono Makonda sbb mimi ni mmoja wa wahanga wa haya madawa.Mtoto wa dada yangu niliyemsomesha toka kidato cha kwanza mpaka chuo,tulimpeleka Chuo cha Ustawi wa Jamii akiwa anasomea mambo ya Industrial Relations,lkn kwa sasa ni teja,kutoka kumlipia ada hadi kumlipia hela ya Rehab Kigamboni.Na wauzaji aliokuwa mteja wao ni hao jamaa wa Bamaga hapo.Pale wanatuulia vijana wetu.

Nikisikia madawa huwa naumia sana!!Sina tu cha kufanya...Mpwa wangu amekuwa teja,japo kwa sasa anaweza kurudi barabarani.Lakini hao jamaa hapo Bamaga kwa nyuma ndio wameniharibia kijana wangu.

Hawa GSM nao licha ya kuwa tunampa support Makonda,nao tuwamulike:

1)Ndio walidhamini kampeni ya "Bonanza la Afya" pale Mnazi Mmmoja aliloitisha Makonda.Yaani badala ya kuboresha huduma za afya,wao wanaitisha bonanza

2)Ndio walidhamini mabango yote mtaani ya Makonda ktk ile kampeni iliyoanzishwa ya kupanda miti.Mabango yote yale Jiji zima,na mpaka leo mengine yapo,wadhamini ni GSM.(ilikuwa kampeni ya kukabiliana na UKUTA)

3)Hawa ndio Makonda alivyoahidi kujenga jengo la BAKWATA,hawa GSM ndio wanatoa pesa za kujenga jengo hili la ghorofa na kumkabidhi Mufti wa BAKWATA.

4)Hawa GSM ndio walidhamini lile Kongamano la bodaboda wa Dsm kwa kununua helmet na reflectors zaidi ya 1500 na kukutanisha bodaboda wa Dsm pale Leaders Club.

5)Ndio walidhamini safari ya US

6).......,,Mengine mengi tunayahifadhi kwa sasa

Kwa hiyo ni kweli lazima kujiuliza,ktk kuweka mizania sawa.....Wana nini na Makonda hawa??
Una data mujarabu sana mkuu
 
Hili swala la Makonda na GSM lichunguzwe. Fullstop ! Hii Lexus LX katoa wapi jamani
Babaaa unampa nyani apukuchue maindi we unategemea nini? Hakuna wakumchunguza mwenzie wote lao moja tu GSM ndowale wauza mapazi iviwalikiwa wanaitwaje? Au nakosea ivi ilisemekana niyananihiii? Ivi walikuwa wanalipa Kodi kweli hawa?
 
Wewe mwanamke umbea acha hauna faida. Usifikiri kila mtu anamagadi kichwani Kama wewe.
 
Tatizo tunaingiza siasa kwenye jambo nyeti kama hili, tunabidi tuungane wote tupinge haya madawa ya kulevya, cio watu wa vyama mchukulie kama ni sehemu ya kutokea kisiasa hii haikubaliki kabsa, inabidi vyama vyote mtoe interest za kinyama tushirikiane na sisi tusionavyama tupinge hli swala kwa nguvu zote
 
nchi ina maajabu sana hii..yule msukuma aliyekuwa swahiba mkubwa wa lowassa kisha akamgeuka na kumtukana kuwa anajinyea..siwezi kumsikiliza mpuuzi wa aina hiyo hata akiniambia kesho nitauawa!ni mtumwa tu.ni msakatonge mmoja tu..haaminiki..ni yeye alisema bangi ihalalishwe!mpuuzi sana..si ndio humuhumu kuna uzi tuliujadili kuwa amepata utajiri kwa wizi na dhulma na biashara haramu?leo ana nini cha kuongea?tuache kuwa na akili za kuku..joseph kasheku msukuma si wa kumsikiliza..yawezekana makonda ana makosa mengi na maovu mengi..lkn hii vita anayopigana sasa ni vita ya haki.msituhamishie goli.
matangazo ya nini
 
Hawa jamaa waliitia nhi mfukoni wakati wa JK kama HSC na sasa nchi iko mfukoni kwao kama GSM
 
Mbona hakuna anaye eleza kwa uwazi GSM nia akina nani wakurugenzi wao na historia zao, je wana mahusiano na home shoping center au mitanfao gani? Mheshimiwa wetu ana mahusiano yepi na GSM na yameanza lini tungependa kufahamu mwenye ujuzi atujuze.
 



Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?

Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi

Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?

Msukuma Kasheku kesha maliza kazi
 
Kinachosumbua watanzania ni kuanza kusema maovu ya mtu pale anapoingilia anga zao. Mimi ni kati ya watu ambao wanadhani Makonda ni mwepesi sana kwenye kazi ya mkuu wa mkoa, anapaswa kuwa kwenye uenyekiti wa mtaa au vijiji. Ila kuanza kusema maovu yake baada ya aka ka-operesheni kake ka madala ya kulevya itaonekana kama ni kutaka kumpunguza nguvu, mimi nadhani kuna haja ya kuwa-expose watu waovu mapema kabla ya kusubiri hatua kama hii ya Makonda.
Dawa ya moto siyo maji wala petrol,ni moto huo huo
 
Kwa JPM hawezi kuona ubaya wa Madereva maana anamuamini na kumtuma!! Hajui kuw dogo ni mchumia tumbo na anafanya faster anajua baada awamu hii mai yake ya kisiasa yatakuwa yameisha
Mdereva this time lazima aondoke na mafuriko
 
Back
Top Bottom