Mtakuja vunja miguu nyie

Mtakuja vunja miguu nyie

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€kimanga kinyerezi sio mbali ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€kimanga mawenzi tu na sivai high heels๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Ntavaa flat shoes mpaka ziombe pooo au nivae heels nikiwa nimekaa nipigie picha then nivue
Watu waswahili kweli,eti tunapita shortcut... Sawa unazijua shortcut ndo na mchuchumio
 
1814fe09-1919-4e5e-b872-511ddf449d59.jpg
 
Mfikio time.

Cc Carleen

Sema heels tamu. Mpaka kamwendo uwa kanabadilika.
Nikivaa mosimo nasahau hata kutembea kwa cut walk. Najikuta naenda enda kama kambuzi.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nikivaa mosimo huwa najiona natembea kama mtu niliyejikatia tamaa ya maisha jamani..!!

Yes, Heels zina confidence siyo ya dunia hii..!!๐Ÿ™Œ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nikivaa mosimo huwa najiona natembea kama mtu niliyejikatia tamaa ya maisha jamani..!!

Yes, Heels zina confidence siyo ya dunia hii..!!๐Ÿ™Œ

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚โค
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nikivaa mosimo huwa najiona natembea kama mtu niliyejikatia tamaa ya maisha jamani..!!

Yes, Heels zina confidence siyo ya dunia hii..!!๐Ÿ™Œ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ karibu chamani wewe
Heels ngoja siku ikumwage
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom